Kiswahili ni lugha mama kwangu na sikusomea ujinga. Kumbuka hilo.
Labda unaota.
Bad hujasajili?Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi.
Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA.
Acha wafungie nimejiandaa kisaikolojia!
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa TCRA commissionerHakuna laini ata moja itafugwa, hizo ni propaganda na vitisho kwa raia.
Maumivu ya kichwa huanza Taratibu.Mbona voda inaanza kuyumba net? Majanga nini
Kwakweli hawatakiwi kufunga line za simu ni.
Simu nichombo muhimu sana kwenye maisha ya watu wakati huu kuzifungia ni ukatili usio na huruma.
Simu ndio maisha ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kipindi kile cha kufunga simu feki wengi walidharau mwishowe wakaja kujikuta wanamiliki makopo.
Hivyo we jipe moyo tu mwisho wa siku inakula kwako.