khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Unafil...wa Mat..ako Wewe.Siwezi ku argue na mtu ambaye uelewa wake una mashaka ila elewa leo TCRA inazima
Kigoma, Rukwa na katavi ilikuwa 8/3/2018 na zoezi lilikuwa kwa miezi mitatuZoezi la NIDA kusajili lilikuwa ni Mkoa baada ya kumaliza Mkoa! Naomba unikumbushe ni lini NIDA walianza kuwasajili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma!
Duh! AsanteUnafil...wa Mat..ako Wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16] hapana mkuu picha ndiyo zinafanana labda na nilikua cjui kama huyo jamaa anatumia picha kama hiyo ila nitafanya mpango niibadilisheUnabadilishaje jna
Wamo wanatuchoraKwani hao TCRA wapo humu?
Wapo lazimaKwani hao TCRA wapo humu?
Nitakua na kesi ya kujibu au?Utaitwa polisi
Kama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Kama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Itategemeana na wallet yako dogoNitakua na kesi ya kujibu au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ukiibiwa siunaenda kutoa taarifa polisi au ww ukiibiwa unaendaga kutoa taarifa kwa mganga?
Swali ata mtoto wa chekechea anaweza kujibu.usiwasumbue hao, wana Mambo mengi.ukiibiwa laini unajaza lost report mapema.tayari taarifa zinakua zinakua zimeshawafikia polisiKama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Kitu cha kwanza na cha muhimu cha kufanya ni kupiga simu kwa mtandao husika (ukitumia simu ya ndugu, jamaa, rafiki) kueleza kua imeibiwa simu ili wai-block; tbaada ya hapo ndio uende kutoa taarifa polisi.Kama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Wamo wanatuchora
Mwambieni mtoa mada awatag au nyie msaidieniWapo lazima