Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Zoezi la NIDA kusajili lilikuwa ni Mkoa baada ya kumaliza Mkoa! Naomba unikumbushe ni lini NIDA walianza kuwasajili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma!
Kigoma, Rukwa na katavi ilikuwa 8/3/2018 na zoezi lilikuwa kwa miezi mitatu
 
Kama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Swali ata mtoto wa chekechea anaweza kujibu.usiwasumbue hao, wana Mambo mengi.ukiibiwa laini unajaza lost report mapema.tayari taarifa zinakua zinakua zimeshawafikia polisi
 
Kama mtanzania ninapenda kujua..Vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakua na kesi ya kujibu au?
Kitu cha kwanza na cha muhimu cha kufanya ni kupiga simu kwa mtandao husika (ukitumia simu ya ndugu, jamaa, rafiki) kueleza kua imeibiwa simu ili wai-block; tbaada ya hapo ndio uende kutoa taarifa polisi.
Hao TCRA kwenye hili waache kwanza
 
Back
Top Bottom