Ndio. Ni Voda tu ndio hawakubali, wengine inakubali bila shida.Sasa mkuu niulize wewe hauna kitambulisho jina lako ni Vic Man na ndugu yako kitambulisho anacho anaitwa Van Vic watakubali sasa kusajiri line hio kwa jina la Van Vic?
Ila nadhani kuna sehemu atafika atakosa baadhi ya huduma
MTC | 101| [emoji769]
hiki ulichoandika hapa as if upo US au UK au SA au UAE kumbe upo TZPoleni sana mtakaozimiwa line! Ni muhimu kufanya jambo kwa wakati sahihi na kwa muda sahihi si vizuri Sana kila Jambo ufanye dakika za mwisho/dakika za lala salama.
Usikate tamaa bado muda upo na usiruhusu hali ya kuupuza vitu, uvivu au uzembe ukutawale.
Serikali iliagiza namba zote zilizo tayari zipelekwe katani. Ilishafanywa hivyo?Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Hayo majaaliwa. Anayejua kesho yetu ni Mungu tu.Ila nadhani kuna sehemu atafika atakosa baadhi ya huduma
MTC | 101| [emoji769]
hivi mpaka leo bado "jr" 😂😂[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]
Jr[emoji769]
Na liweeeee..Liwalo na liwe, maisha yataendelea tu. 2018 Sabasaba Dar fomu ilijazwa, imefuatiliwa pandashuka pandashuka ghorofa la Nida Posta, Temeke na Mkuranga Nida wamegoma mpaka leo. Liwalo na liwe.
Yes. Litasoma jina lako.
Kwa hiyo utakua resposible kwa hiyo laini.
Ndio maana kama unakubali kumsajilia mtu ni bora awe ndugu kwa usalama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba nyingi kutoka Iyo sio sababu kama ni nyingi angalia ratio ya zilizotoka na watu ambao hawajasajiliwa ndio uropokeNaona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
boss unaishi Dar es salaam au nje ya Dar??Muda mwingine Wabongo hatupo makini kabisa tunawalaumu NIDA bure, hili zoezi toka limetangazwa watu walikuwa hawana muda nalo kabisa ukifika ofisi za NIDA unakuta watumishi wa NIDA wanapiga tu stori hakuna kazi ila deadline inapokaribia kila mtu yupo bize kuhangaikia na NIDA na malalamiko juu.
Mchakato wa kupata kitambulisho cha taifa umeanza zaidi ya miaka minne nyuma, Mlikuwa wapi siku zote.
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Hapo hapo kwenye Voda,, hawa jamaa wanaringa sana ! Voda wanajiona wao ni tofauti sanaNdio. Ni Voda tu ndio hawakubali, wengine inakubali bila shida.
Atakosaje
Usichanganye , laini ya sim ji kwa mawasiliano na kitambulisho cha taifa ni kwa utambulisho.
Hakuna mtu anaenda tigo kuuliza jina lako, ila kama unakitambulisho cha taifa huwezi kuzuiliwa hata kama laini yako imesajiliwa na kwa jina.la mtu mwingine.
Usichanganye nida na MNO
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaHayo majaaliwa. Anayejua kesho yetu ni Mungu tu.
Wa Dar na nje ya Dar wanatofauti gani?boss unaishi Dar es salaam au nje ya Dar??