Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Atakosaje

Usichanganye , laini ya sim ji kwa mawasiliano na kitambulisho cha taifa ni kwa utambulisho.


Hakuna mtu anaenda tigo kuuliza jina lako, ila kama unakitambulisho cha taifa huwezi kuzuiliwa hata kama laini yako imesajiliwa na kwa jina.la mtu mwingine.


Usichanganye nida na MNO
Ila nadhani kuna sehemu atafika atakosa baadhi ya huduma

MTC | 101| [emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana mtakaozimiwa line! Ni muhimu kufanya jambo kwa wakati sahihi na kwa muda sahihi si vizuri Sana kila Jambo ufanye dakika za mwisho/dakika za lala salama.

Usikate tamaa bado muda upo na usiruhusu hali ya kuupuza vitu, uvivu au uzembe ukutawale.
hiki ulichoandika hapa as if upo US au UK au SA au UAE kumbe upo TZ
 
Sasa kama mtu alipoteza kitambulisho chake akakiokota mwingine akaenda kusajilia na aliye poteza akatoa taarifa polisi bado atakuwa responsible?
Yes. Litasoma jina lako.

Kwa hiyo utakua resposible kwa hiyo laini.

Ndio maana kama unakubali kumsajilia mtu ni bora awe ndugu kwa usalama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Namba nyingi kutoka Iyo sio sababu kama ni nyingi angalia ratio ya zilizotoka na watu ambao hawajasajiliwa ndio uropoke


kwanza Nida wenyewe wanazingua sana kuna watu tokea 2016/17 uko walijisajili lakn mpk leo hawaja pata na picha walipiga mi nilibahatika tulikua wote lakin wao wamekosa
 
Muda mwingine Wabongo hatupo makini kabisa tunawalaumu NIDA bure, hili zoezi toka limetangazwa watu walikuwa hawana muda nalo kabisa ukifika ofisi za NIDA unakuta watumishi wa NIDA wanapiga tu stori hakuna kazi ila deadline inapokaribia kila mtu yupo bize kuhangaikia na NIDA na malalamiko juu.

Mchakato wa kupata kitambulisho cha taifa umeanza zaidi ya miaka minne nyuma, Mlikuwa wapi siku zote.
boss unaishi Dar es salaam au nje ya Dar??
 
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,

Sio watu wote wanaochukua vitambulisho vya taifa kwa ajili ya kusajili simu. Unaweza kutumia kutembelea Kenya bila kuwa na passport, kurasimisha kiwanja au kusjili kampuni.
 
mpaka nihakikishe nimefungiwa laini yangi ndo nitaanza process.

nimejiandaa kwa style hii so sina presha hata chembe.
 
Atakosaje

Usichanganye , laini ya sim ji kwa mawasiliano na kitambulisho cha taifa ni kwa utambulisho.


Hakuna mtu anaenda tigo kuuliza jina lako, ila kama unakitambulisho cha taifa huwezi kuzuiliwa hata kama laini yako imesajiliwa na kwa jina.la mtu mwingine.


Usichanganye nida na MNO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majaaliwa. Anayejua kesho yetu ni Mungu tu.
Sawa

MTC | 101| [emoji769]
 
Hakuna line itakayofungiwa. Deadline itafika na watakuja na tamko jipya.
Serikali haina pesa na zaidi ya line mil 10+ hazijasajiliwa kwa mfumo wa fingerprints, mmeshafikiria ni revenue kiasi gani serikali itakosa kwa jambo hili la kipuuzi?
Tusubiri tamko la kujichekesha la serikali lakini sio tamko la kuzima line za simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aloo wana utaratibu mbovu Sana hawa Nida binafsi nilijiandikisha September 2019 lakini cha kushangaza hadi leo Sina hata ile namba na zaidi nikiuliza sipewi majibu ya kilichosababisha nikose kupata namba kwa muda wote huo.

Hapa nimejiandaa litakalokuwa na liwe line nitasajili nyingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom