Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Unahitaji data gani ili uamue hili?
Tatizo ni wewe ndio huelewi

mapato tu yatokanayo na simu unayajua?.
Line zinazimwa kwa faida ipi?
Una uelewa kuliko huyo Professor?
 
Hata bunge live ilikua kama utani lakini maisha yanaendelea.

Ukiwa hauna cha kupoteza ni rahisi sana kuzungumza. Wala hatujari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na wazo lako. Zizimwe tu, kuwe na "control" ya uhakika ya watumiaji.

Na ndipo NIDA watafanya bidii kwa kila anaestahiki kitambulisho apatiwe haraka sana.
 
 
Hakuna line itakayofingwa kwa kutokusajiliwa kwa alama za vidole na namba ya NIDA na kama watagunga basi kesho kabla jua halijazama watafungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…