cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Wengine tuna zaidi ya mwaka hakuna namba ya Nida na nimefuatilia Mara nyingi sijafanikiwa kupatiwa .wakiamua kuzima wazime tu. Mabadiliko ni lazima kutokea lakini kuna haraka gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app