Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

TCRA na TRA zote ni Taasisi za Umma
Je hayo ni maamuzi yenye tija kwa Taifa?.
Je hawapaswi kushirikiana kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi?.

kuna kitu kinaitwa 'collective responsibility'

Hazishirikiani wizara itakuwa hizo taasisi?
Hiyo collective responsibility ilitakiwa kuanza kwa mawaziri ambao wako katika baraza moja la mawaziri. Walikuwa wapi mpaka wanamuweka Mheshimiwa Rais katika wakati mgumu?
 
Good!, hao ndio maprofesa wakibongo. Nilitarajia aje na facts au uchambuzi wa kiutakwimu kuonesha before simu kuzimwa mawasiliano kupitia line za simu ilichangia Pato la taifa kiasi gani na baada ya simu kuzimwa zitakazokuwepo zitachangia kiasi gani. Na atuoneshe athari zipi za kiuchumi zinazoweza kutokea.

Huyo profesa ni kama prof ripumbavu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazishirikiani wizara itakuwa hizo taasisi?
Hiyo collective responsibility ilitakiwa kuanza kwa mawaziri ambao wako katika baraza moja la mawaziri. Walikuwa wapi mpaka wanamuweka Mheshimiwa Rais katika wakati mgumu?
Lile suala tu la kuja na wazo la kuzima line wkt unajua NIDA ina changamoto zake sijui alikuja nalo nani
 
Waache tu . Watalimia meno
TANGAZO! Kuanzia tarehe 20 Jan 2020, maduka yetu yatakuwa wazi saa 24 hadi tarehe 2 Feb 2020. Fika usajili namba yako kwa alama za vidole ufunguliwe.
Voda hao
 
Isije ikawa njia ya kumuhujum Rais kwa kumchonganisha na wananchi mwaka huu wa uchaguzi
 
Naona kuna nyuzi zimeunganishwa. Majibu unayopata ni ya uzi uliokuwa unasema TCRA wameanza kufanya mabo yao (Something like that)
Moderator wanakera sometimes, uzi haushabihiani hata nusu, anaunganisha na vitu vingine vya ajabu.
 
Unahitaji data gani ili uamue hili?
Tatizo ni wewe ndio huelewi

mapato tu yatokanayo na simu unayajua?.
Line zinazimwa kwa faida ipi?
Una uelewa kuliko huyo Professor?
Mtu gani msomi anaeongea bila kutoa data na ufafanuzi

Wewe unahisi Serikali pamoja na makampuni ya simu hawajui wanalofanya,?

Unahisi huyo Dkt kawazidi hao wote ufahamu?

Ww unahisi huyo Dkt anayafahamu mapato ya simu kuliko serikali na makampuni yenyewe

Unahisi hakuitajika kutoa maelezo yenye ushawishi juu ya hili swala, just only that baasi na asikilizwe

Ww unafkiri wao serikali na hayo makampuni ya simu hawajafanya analysis kwanza ndipo wachukue action

Yes, naweza nikawa nina uelewa sana tena zaidi ya huyo Daktari katika fani ya uchumi na biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee
 
Basi sawa
Tusubiri kuzimiwa tu
 
Tumeshazoea style yao.....wanatengeneza tatizo kisha wanalitatua halafu tunawasifia na wao wanavimba vichwa.....maisha yanaendelea.

NIDA ni wao, na TCRA pia wao! Wanabahati sana watanzani tulio wengi ni wajinga sana. Tunasubiri kuwapigia makofi kwa kutujali sisi wanyonge!
 
Too low
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa swala la NIDA nimeamini TANZANIA hatuna wataalamu wa TEHAMA

Yani TRA hupewi TIN number bila kuchukuliwa ma finger print mikono yote miwili

Nida nao wanataka Fingerprint sijui Zile finger print za TRA kazi yake nini shenzi hawa

Haya mavitambulisho watu watasumbuliwa hvi mwisho wa siku nayo yatakuwa useless

kuna sehemu utaingia utaambiwa tunahitaji kitambulisho flani,Yani hii wallet yangu saivi

ukitoa business card hayo mavtambulisho yalivyojaaa ni Mungu tu anajua
 
Wafikirie wewe inatosha!! Nida mbele kwa mbele
Burudani kama hizi huwezi kuzipata popote, ila JF pekee!

You made my day lady. Nimecheka, hata kama najua ninao ndugu wengi vijijini wakihangaika na jambo hili.

Lakini isije ikawa hata wewe hapo mkuu 'rubii' unaumia ndani kwa ndani wakati huu bila kujua utalishughulikia vipi jambo hili!
 

Nimesajiliwa Nida week 1 baada ya Mtanzania nambari moja enzi hizoo Mhe. Mkwere kusajiliwa[emoji16][emoji16]
 
Mi nasema asiongeze ili wananchi wajue serikali ilivyo serious

sent from toyota Allex
 
Wanazima line za simu,Mwananchi wakati wa kujiandikisha kaweka namba yake ya simu hapo.

Kesho namba inatoka NIDA, watampata vipi mwananchi kumpa taarifa za namba yake .
Sikuizi siangalii wala kusikliza habar, manake nimatamshi yakipuuzi tu kila wakati. Unaweza kupoteza ata hamu yakula kwaskiliza mambo yakipumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…