Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,093
TCRA na TRA zote ni Taasisi za Umma
Je hayo ni maamuzi yenye tija kwa Taifa?.
Je hawapaswi kushirikiana kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi?.
kuna kitu kinaitwa 'collective responsibility'
Hazishirikiani wizara itakuwa hizo taasisi?
Hiyo collective responsibility ilitakiwa kuanza kwa mawaziri ambao wako katika baraza moja la mawaziri. Walikuwa wapi mpaka wanamuweka Mheshimiwa Rais katika wakati mgumu?