fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Hapana hata ya zamani inakubalimkuu mbna inasemekana mpaka iwe mpya?za zaman hazikubali ndo imesemekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hata ya zamani inakubalimkuu mbna inasemekana mpaka iwe mpya?za zaman hazikubali ndo imesemekana
Tuko sawaNina line 2. Moja nimesajili kwa kitambulisho cha jamaa (ili nijihadhari na kutokuwepo kwenye mawasiliano)... Nyingine (ya kwangu ya siku zote) sijasajili. Hii ya kwangu ikifungiwa haina shida coz watu wangu hawatonikosa hewani kwa hii nyingine na JF nitaendelea kuenjoy 😀 😀 😀
HIVI NDIVYO NILIVYOJIANDAA KISAIKOLOJIA.
mi nahisi naishi dunia ya pekeyangu. sijawahi kujali wala kujishugulisha na mambo ya NIDA. Cheti cha kuzaliwa nnacho, sijawahi kufanya process ya aina yoyote kuhusu vitambulisho , nmekaa tu nasubiri serikali ije inifate nyumbani inipige picha, inipe na namba. Katika vitu nmevipuuzia maishani ni hicho na wala sijali kabisa kuhusu kufungiwa line naona sawa tu,tena naona wanachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbna inasemekana mpaka iwe mpya?za zaman hazikubali ndo imesemekana
Wangesema hivyo hakuna .tu angewashangaa maana hii hoja yako inaingia akilini kabisa hii.Ni tahàdhari tu mmepewa ,ukimkabidhi mtu kitambulisho chako akasajilie laini halafu ilitokea laini yake imetumika katika uharifu jiandae tu kujibu kila kitu
Ninasikitika TCRA mnatoka mlikolala na kudai eti mtu akitumia kitambilisho chake kusajilia line ya mtu mwingine eti adhabu na jera.
Hivi mnajua ujanja waliokuwa wanautumia wasajili kutumia taarifa za mtu bila ridhaa yake.
Haki tena acheni uzuzu na kukurupuka. Kama mngekuwa serious tangu mwanzo mngekuwa makini.

NIDA
Watatufidia mda wetuNdio , mpaka Sasa umekata kabisaaa