mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Ivi yale masanduku ya posta kwani yalishavunjwa?.Maana tunataka tuanze kuyatumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapoIvi yale masanduku ya posta kwani yalishavunjwa?.Maana tunataka tuanze kuyatumia
Sent using Jamii Forums mobile app
wanavyoringa na hivyo vitambulisho Kila unae muomba akusajilie line etyi kitambulisho kimejaa mmh jmn utadhan havito expire
Wenye vitambulisho vya nida wanajifanya wametoboa kuliko ata aleku dangote
wanavyoringa na hivyo vitambulisho Kila unae muomba akusajilie line etyi kitambulisho kimejaa mmh jmn utadhan havito expire
Wenye vitambulisho vya nida wanajifanya wametoboa kuliko ata aleku dangote
wanavyoringa na hivyo vitambulisho Kila unae muomba akusajilie line etyi kitambulisho kimejaa mmh jmn utadhan havito expire
Wenye vitambulisho vya nida wanajifanya wametoboa kuliko ata aleku dangote
Kwa hiyo ni kama anatuchora Wana hapa!Watu kama nyie mmeshasajili kitamboo ila mnausoma upepo tu.
Kuna wadau shuleni ukisemaga "kusoma kuelewa kukesha mbwbwe wao wanasapoti huo msemo kumbe wanapiga msuli home wa kukesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie kijani hua mnalalamika?ni mwiko kulalamika we lumumba,endelea kusifu na kuabudu atakuja jiwe kukuteteaHaituumi kutokuwa na kitambulisho ila kufungiwa laini za simu!, Na si hivyo tu mwiba mwengine ni kuwa watakaotusajilia watawekwa jela!!😭
Sipendi zoezi hili hasa la NIDA maana linavikwazo utadhani nchi tumekodi!! Hakuna viongozi wanaotutetea! Watu wanalalamika humu uhamiaji rushwa NIDA rushwa.. sijui mnataka iweje!!
Haka kataifa sijui kanapelekwaje!! Napinga na nakaidi kwa ukali wanaokwamisha zoezi la usajili kwa alama za vidole ila sipendezwi na namna Mambo yalivyo!!
TafakariAkili ndogo mpaka lini??, Hili nalo mpaka tuambiwe kuwa ni kosa??, acheni kutupotezea mda
...Asante kwa Kujitahidi Kuniandaa Kisaikolojia, Mkuu Rwazi1...[emoji120]Kisaikolojia fanya haya. Kama una smartphone utaendelea na internet kwa wi fi ya mtu mwingine karib. Utaacha aina zote za mikopo ya mitandaon. Utafanya mawasiliano ya kupiga kwa internet tu bila line kwenye whasapp, viber etc. Utarudia mifumo ya kibenk kuhusu pesa hasa huduma ya cardless. Mwisho wa yote utaambulia usumbuf kias lakin kampun zitapoteza makato meng yanayokuhusu na serkali itapoteza mapato ya kodi.
Mi nimejikuta nimesajili laini zangu zote nne, lakini nilikuwa nimepanga kususa wanifungie tu ili watu waanze kunitafuta mithili ya mtu anayetafuta ng'ombe wake aliyepotea, atatembea kuulizia kila mahali..
Duh!!! Hii sasa itakuwa balaa