mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli huduma zao ziko juu hasa M-Pesa na Internet. Wanachoniudhi gharama zao ziko juu mno. Ila wanaboa pia kwenye msg zao za promotion. Hata wakiifunga line yangu sitajuta.Hapo hapo kwenye Voda,, hawa jamaa wanaringa sana ! Voda wanajiona wao ni tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wa kusajili line ya Safaricom upoje mkuu
Nani amekuambia kuna uchaguzi huru na haki? . haupo ndiyo maana serikali inafanya inachotaka
. demokrasia imesharudi kwa mabeberu walioileta nao hawana mpango kuingilia mambo yetu ilimradi mirija yaohaijaathirika
Tupambane na hali zetu. Chama tawala kinaweza amua wapinzani wabaki na viti vinne vya machokoani mambo kwisha. JK aliwapa Uhuru mkasema ni rais dhaifu naye akasema nawaletea jembe tingatinga. Tutulie miaka isonge kama MUNGU ataturudishia mstaarabu tusimdhihaki kama JK tulivyomtukana. Tumeuona upande Wa Pili Wa asiye dhaifu nchi inavyokwenda .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara simu fake sijui iliishia wapi, tukapata hasara, ivi kweli raia mimi ntajuaje hii ni fake au sio, kwanini Serikali kupitia TBS isizuie zisiingie, kiukweli Serikali ndo inarudisha nyuma Maendeleo ya wananchi1. Mtaani wanapita vijana wamachinga na maspika yao, wanatangaza "tunasajili laini kwa alama za vidole". Wanachomoa vimtambo vyao, wanakuomba kitambulisho wanakusajili. Ni nani anaweza kupreserve integrity ya zoezi?
Hivi watu wenye ajenda zao wakiwapa hawa vijana pesa na wakisajili kwa fingerprints za watu wengine zoezi hili umakini wake utakuwaje?
2. Mtandao mmoja mtu anaweza kuwa na laini hadi 5
Je mtu mmoja mwenye kitambulisho akisajili laini kadhaa na kugawa nyingine kwa ndugu, jamaa na marafiki itakuwaje?
3. Huko vijijini ndani ndani kabisa hao wanaosajili kwa alama za vidole capacity yao ya kufika huko ndanindani ikoje?
MY TAKE:
Hii nchi ni nchi ya watu masikini sana, kinachosikitisha ni kwamba pale kunapoanza kutokea mwangaza fulani hivi wa sekta fulani kuanza kuchomoza na kushine ili baadae iwe nguzo muhimu ya kiuchumi na kijamii, huwa zinatokea forces fulani kutoka kwa serikali ileile kuanza kuweka regulation ngumungumu zinazorudisha mafanikio ya wananchi nyuma. Kwa mfano:
a) Wananchi walikuwa wameshapiga hatua kubwa kweli kwenye kumiliki TV, kiufupi nyumba za wananchi wengi vijijini na mijini walishaanza kuona TV kama sehemu ya utamaduni wao. Cha ajabu serikali ikaja na mambo ya kuhama Kutoka Analojia kuja Dijitali, na kusababisha kuleta watu wa ving'amuzi kitu kilichopekekea gharama za kumiliki TV kuwa juu, na matokeo yake nyumba nyingi nchini leo hii TV ni anasa!. Watu leo hii imefikia hafua kuangalia Taarifa za habari Bar, au kuangalia mpira wa ligi yao wenyewe kwenye mabanda ya mpira!
Kiufupi base ya wananchi wamiliki TV, imeshrink mno
b) Leo tena baada ya mafanikio ya wananchi mamilioni kwa mamilioni kumiliki laini za simu, serikali ile ile yenye kawaida ya kuvuruga baada ya mambo kuanza kuonekana kukaa kwenye msitari inakuja na reguation juu ya regulation, leo inataka watu wajisajili kwa vitambulisho vya NIDA plus fingerprints, wakati inajua ipasavyo kuwa capacity ya kuprovide vitambulisho hivyo kwa kasi ni ndogo lakini pia uwezo wa kusajili hizo alama za vidole kwa kasi ya kutosha hadi kucover huko vijijini ni mdogo!
Matokeo ya hili zoezi la usajili wa laini ni ama watu wengi watacheat kwa kutokuwa na usajili sahihi au kupelekea upunguaji wa umiliki wa laini za simu, matokeo yake wamiliki simu watapungua kama ilivyotokea kwenye zoezi la TV
Kesho watasajili kwa kupima damu sio fingerprint tena,viongozi wenye mawazo ya ujamaa ndivo walivo kwao salama kuwatawala future less people wanaitwa wanyonge kwa kuwatengenezea umasikini ili watawaliwe kirahisi.Shida ipo tunapokosea kuchagua viongozi.1. Mtaani wanapita vijana wamachinga na maspika yao, wanatangaza "tunasajili laini kwa alama za vidole". Wanachomoa vimtambo vyao, wanakuomba kitambulisho wanakusajili. Ni nani anaweza kupreserve integrity ya zoezi?
Hivi watu wenye ajenda zao wakiwapa hawa vijana pesa na wakisajili kwa fingerprints za watu wengine zoezi hili umakini wake utakuwaje?
2. Mtandao mmoja mtu anaweza kuwa na laini hadi 5
Je mtu mmoja mwenye kitambulisho akisajili laini kadhaa na kugawa nyingine kwa ndugu, jamaa na marafiki itakuwaje?
3. Huko vijijini ndani ndani kabisa hao wanaosajili kwa alama za vidole capacity yao ya kufika huko ndanindani ikoje?
MY TAKE:
Hii nchi ni nchi ya watu masikini sana, kinachosikitisha ni kwamba pale kunapoanza kutokea mwangaza fulani hivi wa sekta fulani kuanza kuchomoza na kushine ili baadae iwe nguzo muhimu ya kiuchumi na kijamii, huwa zinatokea forces fulani kutoka kwa serikali ileile kuanza kuweka regulation ngumungumu zinazorudisha mafanikio ya wananchi nyuma. Kwa mfano:
a) Wananchi walikuwa wameshapiga hatua kubwa kweli kwenye kumiliki TV, kiufupi nyumba za wananchi wengi vijijini na mijini walishaanza kuona TV kama sehemu ya utamaduni wao. Cha ajabu serikali ikaja na mambo ya kuhama Kutoka Analojia kuja Dijitali, na kusababisha kuleta watu wa ving'amuzi kitu kilichopekekea gharama za kumiliki TV kuwa juu, na matokeo yake nyumba nyingi nchini leo hii TV ni anasa!. Watu leo hii imefikia hafua kuangalia Taarifa za habari Bar, au kuangalia mpira wa ligi yao wenyewe kwenye mabanda ya mpira!
Kiufupi base ya wananchi wamiliki TV, imeshrink mno
b) Leo tena baada ya mafanikio ya wananchi mamilioni kwa mamilioni kumiliki laini za simu, serikali ile ile yenye kawaida ya kuvuruga baada ya mambo kuanza kuonekana kukaa kwenye msitari inakuja na reguation juu ya regulation, leo inataka watu wajisajili kwa vitambulisho vya NIDA plus fingerprints, wakati inajua ipasavyo kuwa capacity ya kuprovide vitambulisho hivyo kwa kasi ni ndogo lakini pia uwezo wa kusajili hizo alama za vidole kwa kasi ya kutosha hadi kucover huko vijijini ni mdogo!
Matokeo ya hili zoezi la usajili wa laini ni ama watu wengi watacheat kwa kutokuwa na usajili sahihi au kupelekea upunguaji wa umiliki wa laini za simu, matokeo yake wamiliki simu watapungua kama ilivyotokea kwenye zoezi la TV
Kakudanganya nani,jf na social media zote namba za,Simu ni hiari yako.Mbona unajisajili bila hata Simu walla namba.Kumbuka hatumiliki server za hizi social media hata aliye nje ya nchi anajusajilia tu.Wakifungia tutatumia line za nje hata Kenya kutuma pesaHuwezi elewa we subiria hiyo tar20 watufungie cheap zetu ndio utaelewa humu jf kwenyewe wengi tutashindwa kuingia achilia mbali maswala ya kupiga simu kijijini tutarudi enzi za kusikiliza taarifa ya habari kwa m/kiti wa kijiji.
Wao ndo watakosa mapato.mawasiliano zikiwepo hata Simu mbili kijijini zinatosha wataaazimana kuwasiliana tutatumia wasap,tango,nkTanzania tuna tatizo la kutokuwa na sera za taifa. huduma, elimu, uchumi afya na usalama zinatakiwa kuwa sera za taifa hata aje kichaa gani angebanwa na katiba na sheria lakini aya mambo ya kufata matakwa ya mtu mmoja ndio yanatughalimu kama nchi.
Unamwambia babu wa miaka 70 akajipange foleni nida kujaza form ya kusajili line seriously? mzee atoke kijijini kwenda wilayani kutafuta namba? unakuta mtu anatembea km 50 kwa baiskeli nenda rudi nenda rudi bila mafanikio. huduma ni haki ya kila mtu kuwafungia watu lain kwanza ni uvunjifu wa katiba.
Shida na changamoto plus njaa ya wasimamia zoezi upelekea mambo ya shortcut.Kumbuka technology haiwezi shindana na akili ya mwanadamuYaani sisi dah! Kuna kitu kweli tunaweza kukifanya kwa weledi kabisa kabisa kikaenda kitaalamu bila figisu figisu? Kwa nini inakuwa hivi lakini?
Hapa utakuta watu wameiba mpaka basi. Watu weusi sisi tuna matatizo sana wallahi.
Hivi Ni sheria namba ngapi inayotamka mwisho wa kusajili Ni tar 20? Je Ni sheria ipi inayotamka kumiliki simu bila kitambulisho Cha taifa Ni kosa kisheria? Nasikia sijui Kuna kifungo Cha jela kwa kosa lipi?Hili zoezi ni la kipumbavu haijawahi tokea,wataweka vipi dead line wakati si wananchi wote wana vitambulisho vya Nida?Kupata Kitambulisho chenyewe unaweza hata zimia kwenye foleni.Kwanza sidhani kama kuandikisha line ndo kitu mtanzania anahitaji ili aishi.Mtanzania anahitaji Maji safi na salama,Kazi,huduma bora za jamii kwa ujumla.