Mixer na wapiga mizingaInaonekana unadaiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana lazima wakutafute.
rombo punguzeni pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mixer na wapiga mizingaInaonekana unadaiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana lazima wakutafute.
rombo punguzeni pombe
Nirushie Mimi ni download movie hapaKifurushi cha data nina cha mwezi sijuwi ni fanyeje nikimalize maana kwa siku mbili walizo niambia zimebaki wafunge laini Yao siwezi kumaliza kifurushi changu! Haiwezi kuwa kesi ya uhujum uchumi!
Ubarikiwe!
Wew ni pumbuwani...Bora mpumbavu ataelimika maana upumbavu unafutwa kwa elimu..upumbuone unatolewa na dude..!baadhi ya watanzania ni wapumbavu sana.
Kwakweli anaeumia ni mwananchi,Mara simu fake sijui iliishia wapi, tukapata hasara, ivi kweli raia mimi ntajuaje hii ni fake au sio, kwanini Serikali kupitia TBS isizuie zisiingie, kiukweli Serikali ndo inarudisha nyuma Maendeleo ya wananchi
Hata pale mwananchi anaponyanyaswa na serikali yake bila hatia kazi yako ww nikujikomba kwa jiwe ili upate mlo!
Nani kalalamika hapa kwamba ana namba ya NIDA na ameshindwa kusajiri?
Hata hivyo, wakati wewe unasifu na kuabudu watawala walio kosa hekima, ukidhani mnawakomoa wapinzani,
ndg zako huko kijijini wanasota na NIDA na hawajafanikiwa kupata hata namba na ni miongoni mwa watakaofungiwa line zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
hujapitia vyombo vya habari kabla ya bandiko lako mkuu? View attachment 1326930
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuze jinsi ya kuamisha bando mkuu ni kuamishie!
Wasiongeze inatosha kwanza tunasumbuka, wasiokuwa na vitambulisho wengi Ni chadema
Sent using Jamii Forums mobile app