nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Kufanya maamuzi sio kuumiza watu. Bali ni kuwaandaa kwa mipango thabiti.Vipi ulitabiri simu za kichina kufungwa? Vipi zilifungwa hazikufungwa? Je, ulitabiri kuzimwa kwa analog kupisha digital? Je analog ilizimwa haikuzimwa? Haya ndo mabadiliko yenyewe sasa hatuwezi kurudi nyuma, hatuwezi kuishi kizamani lazima mfumo ubadilike hata kama tumechelewa kufanya maamuzi.
Acheni kujificha kwenye kichaka cha maendeleo wakati mnarudisha watu nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app