Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Habari: Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine Dkt. Silvery Ishuza ameshauri serikali kusitisha zoezi la kufunga namba za Simu ambazo hazijasajiliwa kwa kutumia alama za vidole ili kuepusha mdororo wa uchumi unaoweza kujitokeza.

IMG_1626.JPG

MIMI PIA NAUNGA MKONO KAULI HII YA PROFESSOR.

Source: ITV

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bora umekiri uzembe wako. Wengine ni kama wewe lakini lawama wanazotoa utadhani walijiandikisha miaka mia iliyopita kumbe walipuuzia[emoji3].
Binafsi nilipata namba mwezi wa 9 ila nimesajili siku chache zilizopita, ni uzembe pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOrTE]
Me nilijua kitambulisho cha mpiga kura kinatumika nikajiachia nikajua ndatumia hicho mda wowote kusajili ebwana machale yakanicheza mwaka jana mwezi wa kumi na moja mwishoni si nikasema ngoja nika sajili kumbe kitambulisho sio nikadata,ngoma ikawa nida december ikawa ya moto coz walisema 31 mwisho watu utitili nikashindwa mara wakaongeza mda ndipo kama wiki nimesajili but bado namba nasikilizia mbaka sasa
 
Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?

Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?
Utaitwa police kisha utawaeleza watawakamata through gps
 
Serikali ilishasema haishauriki, ila ukiona watu kila kukicha wanazidi kutoa ushauri sambamba na kukosoa yale matendo maovu bila kujali usalama wa maisha yao basi ni kwamba watu wana nia NJEMA na taifa lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua, ni faida zipi zitakazopatikana kwa kufungia laini za watanzania milioni ishirini kwa sababu zisizo na mashiko?

Kuna watu wanaishi kwa miamala ya simu.

Kuna watu wanaishi kwa kutumia internet.

Miamala ya benki na biashara yote inahitaji simu!

Kadi za NIDA hakuna. Na simu zinazimwa!

Vitambulisho vya kura na leseni hawataki. Wanataka NIDA. Bila NIDA hakuna kusajili.

Hakuna guarantee kwamba NIDA watatoa namba upesi baada ya laini kufungwa.

Kwahiyo watu wataishi bila mawasiliano kwa muda usiojulikana mpaka pale NIDA watakapojisikia kutoa kadi na namba!

Haya yote yanafanywa kwa ajili ya nani? Kuna motive gani nyuma ya huu uovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu watasajili tu na utashangaa kila mtu soon atakuwa na laini iliyosajiliwa. Hata mfumo wa analojia watu walipinga sana kuwa watu hawana uwezo wa kununua vingamuzi mara sijui nini lkn mfumo ulizimwa na hadi leo maisha yanaendelea. Mabadiliko ni threats kwa watu wengi lkn baada ya muda mchache wanazoea na maisha yataendelea kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom