zanzibar huru
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 218
- 108
Hawa ma ex colonisers wanataka kuaminisha Dunia kuwa Zanzibar kulikuwa hakuna mtu mpaka walipokuja wao (wasome vizuri huo ujumbe hapo juu)
Na mbaya zaidi Wazanzibari na hususan SMZ kupitia wizara ya Utaliii kila wakitoa maandiko tunapewa historia baada ya kuja Mkoloni Mwarabu toka Oman (hawa nao sijui tuwaite ma beberu au vipi).
Mbaya zaidi toka mapinduzi Serikali ya oman haikufanya juhudi mahsus ya ku normalise relations na Zanzibar na hasa kwa kutumia soft power zaidi ya kuleta ji meli na kujenga Msikiti na kuahidi kukarabati Nyumba ya Sultan (Gofu)
Katika hali ya kawaida kwa kutazama uwezo mkubwa wa Pesa waliyonayo seriali ya oman wangeliweza kuwekeza na kufinance kupitia mikopo yenye masharti nafuu (iwapo serikali ya Tanganyika itakubali kwa sababu SMZ haiwezi kupata pesa na mikopo toka nje mpaka serikali ya Tanganyika huko Dodoma ikubali) major infrastructure projects hapa Zanzibari kama vile Bandari, Airport, Free zone, Hospitals, na bila kusahau financial sector ili zanzibar isiwe kama Dubai bali we kuliko Singapore.
Al muhim, someni hiç article ambayo inatembea sasa kwenye mitandao ya kijamii kama whatsapp etc