Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari



IKo wapi hiyo Article?
hawa jama ni matajiri sanaa!
 


I humbly disagree na hii premise ya ku set up Truth and Reconciliation na Oman

To what ends ?

Omanis were colonisers and its simple as that.

If anything Zanzibaris should demand they (Omanis) pay reparations for the stagnation of not only Zanzibar Islands but the entire cost and Slave routes in Tanganyika that were under the Omanis

The Elephant in the room is, for Omanis, Zanzibari is a prime piece of real estate, always was, always will be and the they want it, for their second home!

Ever wonder why we rejected the dual Citizenship nonsense? Go figure!


These Arabs are the deception kings, they are ruthless, persuasive, divisive and most of all corruptive!

They can keep their Oman and we will keep our Zanzibar.

Stop this Truth and Reconciliation nonsense, what has it done to South Africa?
 
LOooo!, nimezipenda hizo suruali za akina mama.
Mtindo huu utarudi lini? Hivi enzi hizo hapakuwa na viatu?
Watu wamevaa maridadi kabisa hadi vilemba kichwani, lakini miguuni wapo pekupeku!
 
Waafrika bwana sijui tuna tatizo gani, hitaki kuwa koloni lake halafu hapo hapo unamlaumu kwa kutokusaidia na kuwekeza.
Kwani ni lazima afanye hivyo si ulitaka unitawale unapambana na hali yako?
Sijui kwanini tunadhani hatuwezi kuendelea mpaka tusaidiwe
 
Sifikirii kama Waomani wanaweza kuisaidia Zanzibar kiuchumi, sababu kubwa ni kuwa serikali ya Zanzibar ikiongozwa na chama tawala CCM ina kila dalili za Ubaguzi dhidi ya watu wengine wasio Waafrika

Kauli zao za kuwaita wasio kuwa Waafrika MABEBERU, WAKOLONI, MACHOTARA, MAHIZBU, WANYONYAJI nk, zimetawala midomoni mwao, Dunia inasikia, Waomani wanasikia..

Katika hizi karne tunazoishi, kikawaida nchi zilizotawala zinajua zilifanya makosa makubwa kuwatawala wengine, wanataka kulipa FADHILA

Nchi kama India, Japan, nk zimefaidika na FADHILA za watawala

Serikali ya Zanzibar chini ya CCM HAIJIELEWI, ina hamisisha ubaguzi, sifikiri kama Waomani wanaweza kusaidia Zanzibar financially, Watakuwa wajinga,huwezi kumlipa FADHILA mtu anaekutukana kila siku..

Ujinga wetu wa kutanguliza HISIA kwa kila kitu tunachokifanya bila ya kuangalia UHALISIA wa kile kitu ndio umetufikisha hapa

Zanzibar imetoka kuwa EMPIRE mpaka kuwa nchi fukara, Nchi zilizokuwa na Uwezo wa kuwa EMPIRE zinahesabika, Zanzibar ikiwa moja wapo,

Roman Empire hawa walikuwa wataliana walitawala kabla na baada ya Yesu,

Othman Empire hawa walikuwa Waturuki, kama unaangalia tamthilia ya Sultani ndio historia yao..

Zanzibar Empire hawa walikuwa Waafrika wa Afrika Mashariki..

British Empire hawa ni Waingereza..

Waafrika bila ya kubadilisha MIND SET yetu, bila ya kubadilisha mfumo wa maamuzi yetu Tutaendelea kuwa wa mwisho duniani
 



Mbona huyo wapili kutoka kushoto anaonekana kachanganya damu?
Ndio maana yake, kwani aliechanganya damu anaitwa nani?

Bila shaka itakuwa mchanganyiko wa Mwarabu na Mwafrika,

kwa maana hiyo wale wanaosema kuwa kulikuwa na Ubaguzi wakati huo sio kweli kwani watu walikuwa wanaowana wana zaana bila ya kijali rangi ya ngozi zao

Katika hii picha huyu jamaa alievaa kilemba na koti jeusi ni mwarabu, huo ndio muonekano wa waarabu wa Oman
 
Ndiyo maana mnataka muipole
 

Uhuru to Zanzibari people

CCM is the colonizer here!
 
I humbly disagree na hii premise ya ku set up Truth and Reconciliation na Oman
Stop this Truth and Reconciliation nonsense, what has it done to South Africa?
Sio Truth and Reconciliation Commission na Oman, ni Truth and Reconciliation Commission ya kuzipatanisha pande mbili zinazosigana Zanzibar kuhusu yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya 1964, waliofanya mapinduzi yale wanajitapa ndio ukombozi wa Mzazibari dhidi ya ukoloni wa Mwanarabu chini ya Sultani dhalimu, waliopinduliwa, walifanywa vibaya, kuna watu waliuliwa kinyama na kufanya kila aina ya vitendo vya kikatili, hivyo wako watu wangali na makovu ya mapinduzi yale, wakiyaita ni mauaji ya kimbari ya Waarabu. Ili Zanzibar is stabilize, kiukweli kabisa Truth and Reconciliation Commission inahitajika, kama ilivyofanya GNU, ni kuwaleta pamoja tuu, lakini watu walikuwa ndani ya GNU huku wana makovu na visasi, ndio maana Mwarabu kila siku anashinda na hapewi kwa kuhofia retaliation, lazima kwanza Wazanzibari msemezana na muambiane ukweli wa kilichotokea ile 1964, msameheane, ndipo muelewane na kwenda pamoja. Amini usiamini, usalama na amani ya Zanzibar imeshikiliwa na huu muungano adhinu tuu, bila hivyo mgechinana mpaka basi!.
P
 
I dare to say Omanis were not Coloniser,they were not involved on Zanzibar Dynasty..

Nitapenda nichangie kwa kiswahili ili walio wengi wafahamu..

Kwanza unatakiwa ujiulize kwanini Jamshid, Sultan wa mwisho Zanzibar ambae alipunduliwa 1964 hakuchaugua kwenda Oman bali alichagua kwenda Uingereza?

Sababu kubwa ya Sultan Jemshid ya kwenda kuchukua ukimbizi UK ni kuwa yeye hakujiona kama MUOMANI yeye alijiona ni MZANZIBARI

Ukirudi nyuma zaidi utakuta kuwa hawa Masultani wa Kiomani kwa wakati huo waligawana nchi, ndugu mmoja katawala Zanzibar na Mwengine Oman ikawa kila mtu anajitawala kivyake..

Huyu Sultani wa Zanzibar miaka nenda miaka rudi,kutokana na kuchanganyika baina ya Waafrika na Warabu katika kasiri la kisultani, Uarabu ukaondoka katika Sultani wa Zanzibar..

Ali bin Hamud ambae alikuwa Sultan wa nane Zanzibar alikuwa Mwafrika kabisa, kutokana na damu kuwa kali zaidi upande wa Mama..

Kwaufupi Masultani wa Zanzibar walikuwa ni wa Wamanyema na Warabu..

Picha Chini ni aliekuwa sultan wa nane Zanzibar


Jamshid ni mwendelezo wa familia ya Ali bin Humud, Jamshid alikuwa Sultani wa 13..picha chini ni Sultani Jamshid..


Tuache kudanganya ya kuwa tuliwapindua WARABU hatukuwapindua Warabu bali tuliwapindua na tukawafukuza ndugu zetu..
 
Anayekulisha atakutawala. Brother Tom Sankara
 
Anayekulisha atakutawala. Brother Tom Sankara
"Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu" waswahili walisema

"If you want to succeed avoid taking advice from broken people" Wazungu walisema..

Ondosha hisia zako, tafakari jaribu kukubaliana na Uhalisia wa sisi kujitawala..

1964 Oman ilikuwa na Hospitali, Shule moja nchi nzima, Zanzibar ilikuwa na kila kitu.

Hivi sasa ni kinyume chake, tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…