This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
utopolo jikaze the, utawakilishwa vyema na mnyama. Wazoefu wa hizo kazi.Mkuu pengine mnarejesha zile vimbinu mbinu vyenu vya kumfanya hata Bocco akabadilika kuwa kama Lionel Messi. Si umeona watu wameingia king kwa kuhisi Chama na Luis ni wachezaji wa hatari sana kumbe ni power bank za kwa Mkapa pekee ndio zimewasaidia saivi wanastuka kuwa kumbe walisajili magalasa wanatamani kuwarejeshea magalasa yenu.
Hivi nyie Michuano ya Kimataifa hamuwezi kwa sababu gani?
Halafu ASEC Mimosas hawataki support ya muda mbona, endeleeni malalamiko kwa TFF mkuu.
Simba wakijitahidi sana watadrooHata wakipigwa na Mnyama Mkali msiache kuwasifia..!
Maana kuna wenzako wanawapokea Airport, lakini baada ya mchezo wakifungwa wanashindwa kuwasindikiza.
Mimi sio simba ila hao ambao hawapo hapo ni pigo kubwa kwa simba mkuu.Simba wachezaji wengi hawapo ,Kibu , Morison ,Mugalu ,Lwanga na Dilunga nao njia panda .
Dah sina imani na mechi hii naona mambo yatakuwa magumu sana
Umeongea kama mpenzi wa soka yaani, safi kabisa.Sio Simba hii. Nikikumbuka Galaxy walivyofanya, imani inanitoka kabisa.
Wachezaji wetu wa Simba wa sasa waliunajisi uwanja wa Mkapa kwa kuruhusu kufungwa bao tatu na kutupwa nje ya CCL
Kabda ya hapo Watanzania tulijua na wapinzani wetu kutoka nje ya nchi nao walijua kua Kwa Mkapa mbele ya Lunyasi SSC haponi mtu
Kocha wa Ahly Mosimane katika hafla ya kupanga draw ya CCL alisema anafarijika maana this time hawatakwenda kwa Tanzania(kucheza na Simba kwa Mkapa)
Hebu vijana wetu wauchukulie serious mchezo huu. Asec Mimosas hatujawahi kuwafunga ndani wala nje na kumbukumbu ya Sekou Bamba bado tunayo alivyotuua pale Shamba la Bibi. Ila siku zimebadikika na lolote linawezkana. Tukapambane
Kama kesho unaingia Taifa kuishabikia Asec tujuzane.Ngoja nikagoogle nizione jezi maridadi kabisa za Asec
Hahahaha nimecheka saaana.Kwa sababu ni usindikizaji tu
Hio michuano ya kimataifa mmebeba makombe mangapi mpaka muda huu?
Kesho tukutane kwa mkapa mapemaAsec wana jezi kali sana
wasio jiweza kama wewe ???Nyie ndo mnasupport wageni na mwisho baada ya matokeo mnaufyata
Simba SC ndo kimbilio la wasioweza
Kuna Watu Wasipo-park Basi Fahamu Kitu Kizito Kitawaangukia Kichwani.
Ewe "Mama J FC" Memoc ndiyo timu gani?Kwa Simba hii ya PENALTY na RED CARD matokeo ni kuliwa kiboga mapema sana. Uifunge mbeya kwanza kwa bao la wizi afuu utambe kumfunga Memoc!!?
Au mmesahau yale matokeo ya Galaxy[emoji3][emoji124][emoji124]