Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Mkuu tusibishane sana hebu ngoja tujaribu kufuatilia historia itatupa majibu sahihi... Ila nakumbuka vizuri kama sikosei ni mwaka 2003 tulikuwa kundi moja pamoja na enyimba kwenye hilo kundi sisi tulishika nafasi ya tatu na pointi zetu 7 huyu asec alishika mkia. Naendelea kufuatilia zaidi....
 
Mkuu nilishatoa ufafanuzi kwenye post yangu no 17
 
Kwa Simba hii ya PENALTY na RED CARD matokeo ni kuliwa kiboga mapema sana. Uifunge mbeya kwanza kwa bao la wizi afuu utambe kumfunga Memoc!!?

Au mmesahau yale matokeo ya Galaxy😀🚶🚶
al ahly alifungwaje?
 
Mnyama kama kawa lazima akamate mawindo yake. Kesho ushindi ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…