Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Mkuu kwa mkapa kuingia shughuli yake huwa ndefu sana na jua hili bado hujawaza kuibiwa simu hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo uzalendo huo mkuu.....mbna sisi wananch....tumekuja kuwapa support happa kwa mkapa
 
Baada kuchukizwa na gap la points kupungua hadi kubaki 5 na mdhamini wao kujitoa, hawa wa upande wa pili wameshamaliza kazi kule Bagamoyo.

Pia tetesi zinasema wameweka kwenye chupa majina ya Mugalu, Boko na Kagere hata wabaki wao na goli tupu hawataweza kufunga.
Inamaana wewe hujui kama Mugalu hatocheza leo au wewe ni mgeni.
 
Chukua hii ninachojua na Kazi ndiyo tumetoka Kuimaliza sasa japo nikiri ilikuwa ni Nzito kwani Jamaa ( Asec Mimosa ) nao ni Wazima na Wazito kwa Unyangindo ( Uchawi ) ila kuna mahala tumewaweza.

Simba SC anashinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 japo kuna Uwezekano Mchezaji Kuumia na kuna Kitu kitatokea Uwanjani ila msiogope, msishangae na muwe Wavumilivu nacho.

Mafia wa Soka na Simba SC tumerejea!!

Cc: Bujibuji Simba Nyanaume
Uchawi utawafikisha wapi nyie watu,,,mpira ni uwanjani kama mnajiamini timu yenu nzuri si msitumie izo paka na ayo majini,,,pamoja na kuroga kote bado jamaa wanaonekana ni wazuri sana pamoja na kuwafunga miguu kwa uchawi lakini wanaonyesha sio timu ya mchezo muendelee kushukuru uyo mganga wenu
 
Habari zimeenea Bagamoyo mitaani kuwa Simba walikuwa kwa witchdoctor mmoja wa Bagamoyo ambaye amejitahidi kuwasaidia ili kichapo kisiwepo lakini imeshindikana. Mganga huyo yupo Bagamoyo maeneo ya jirani na hospital ya wilaya.

Chanzo: wadau wa Bagamoyo.
Mtukome na Tutashinda
 
Huyo mganga ni shoga
 
Chukua hii ninachojua na Kazi ndiyo tumetoka Kuimaliza sasa japo nikiri ilikuwa ni Nzito kwani Jamaa ( Asec Mimosa ) nao ni Wazima na Wazito kwa Unyangindo ( Uchawi ) ila kuna mahala tumewaweza.

Simba SC anashinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 japo kuna Uwezekano Mchezaji Kuumia na kuna Kitu kitatokea Uwanjani ila msiogope, msishangae na muwe Wavumilivu nacho.

Mafia wa Soka na Simba SC tumerejea!!

Cc: Bujibuji Simba Nyanaume
Mightier hakika nimekubali.. 3-1 now
 
Back
Top Bottom