Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Hatuna muda wa kubishana na Mashabiki ambao tulishaambiwa wote hawana akili na wanabweka kama manyani
 
Inawezekana lakini maana mpaka Sasa hivi mvua haijanyesha
 
Leo Simba ndio watajua kubebwa na Marefa wa bongo kumewaletea athari kiasi gani. Kipigo Cha Leo lawama nazipeleka moja kwa moja kwa Marefa wao ndio walio ilemaza timu ya Simba.

Leo watamkumbuka refa wao Ahmada Simba! 😁😁😁 Maana hawana namna. Itawalazimu tu kukubali kipigo cha mbwa mwizi.
 
Ngoja tuone ,tutarudi baada ya mechi kuishia.
 
Baada kuchukizwa na gap la points kupungua hadi kubaki 5 na mdhamini wao kujitoa, hawa wa upande wa pili wameshamaliza kazi kule Bagamoyo.

Pia tetesi zinasema wameweka kwenye chupa majina ya Mugalu, Boko na Kagere hata wabaki wao na goli tupu hawataweza kufunga.
 
Back
Top Bottom