Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

CAF CONFEDERATION CUP

Mashabiki wa Simba hawataki kusikia lolote siku ya leo ila tu ni kuona chama lao linashinda pale lupaso stadium aka kwa mkapa

Matokeo ya ushindi si tu yataifanya Simba kuongoza kundi lao Bali kuwafanya mashabiki kutembea kifua mbele .....

Swali

Je kwa kikosi cha Simba leo chenye wachezaji wazito kwenye mpira, wazee unadhani wanakufa kwa goli ngapi pale lupaso?

View attachment 2118074
Simba atanyukwa bao za aibu sana hakuna timu pale.
 
Habari zimeenea Bagamoyo mitaani kuwa Simba walikuwa kwa witchdoctor mmoja wa Bagamoyo ambaye amejitahidi kuwasaidia ili kichapo kisiwepi lakini imeshindikana. Mganga huyo yupo Bagamoyo maeneo ya jirani na hospital ya wilaya.

Chanzo: wadau wa Bagamoyo.
Nani kakutuma huko Bwagamoyo?
 
Tambeni huu ni muda wenu

Tukishinda tunawaomba msizime data
 
Shida yetu watanzania mpira tumeufanya kuwa uadui na sio mchezo wa kuliunganisha Taifa Kama dhana ya michezo ilivyo!!

Mechi za kimataifa tungeungana kushangilia timu za nyumbani,, then domestic league kila mtu apambane na hali yake,, utakuja kuona mautopolo yamevaa jezi za Chama tawala afu yanashabikia wageni!!

Utopolo mtakuwa na akili lini?
Simba Sc haiwezi kuchangamana na intarahamwe wa jangwani, acha washangilie wageni.
 
Asec wanamgegeda mnyama kama Jwaneng walivyofanya siku ile pale kwa Mkapa.
 
Leo Simba ndio watajua kubebwa na Marefa wa bongo kumewaletea athari kiasi gani. Kipigo Cha Leo lawama nazipeleka moja kwa moja kwa Marefa wao ndio walio ilemaza timu ya Simba.
Msije kusema ASEC ni vibonde.
 
Habari zimeenea Bagamoyo mitaani kuwa Simba walikuwa kwa witchdoctor mmoja wa Bagamoyo ambaye amejitahidi kuwasaidia ili kichapo kisiwepi lakini imeshindikana. Mganga huyo yupo Bagamoyo maeneo ya jirani na hospital ya wilaya.

Chanzo: wadau wa Bagamoyo.
Chukua hii ninachojua na Kazi ndiyo tumetoka Kuimaliza sasa japo nikiri ilikuwa ni Nzito kwani Jamaa ( Asec Mimosa ) nao ni Wazima na Wazito kwa Unyangindo ( Uchawi ) ila kuna mahala tumewaweza.

Simba SC anashinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 japo kuna Uwezekano Mchezaji Kuumia na kuna Kitu kitatokea Uwanjani ila msiogope, msishangae na muwe Wavumilivu nacho.

Mafia wa Soka na Simba SC tumerejea!!

Cc: Bujibuji Simba Nyanaume
 
Back
Top Bottom