Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Hapna mkuu......kuwa na mpira uadui ndio kunafanya mpira wa bongo kukua zaidi ......coz kitendo Cha wapinzani wenu kuto waunga mkono kutawafanya .....wachezaji wa SIMBA kujituma ZaidShida yetu watanzania mpira tumeufanya kuwa uadui na sio mchezo wa kuliunganisha Taifa Kama dhana ya michezo ilivyo!!
Mechi za kimataifa tungeungana kushangilia timu za nyumbani,, then domestic league kila mtu apambane na hali yake,, utakuja kuona mautopolo yamevaa jezi za Chama tawala afu yanashabikia wageni!!
Utopolo mtakuwa na akili lini?