Kuelekea Mechi ya Ngao ya Jamii August 13, 2022

Kuelekea Mechi ya Ngao ya Jamii August 13, 2022

kabla ya kuosha vyombo wadeki nyumba kwanza,waende sokoni,wapike,watenge chakula kisha watoe vyombo wakaoshe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umesahau na wadeki vyoo
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba😁😁😁😁
Mpira haupo ivyo mkuu huwezi kusema kwa sababu fulani kamfunga fulani ambae yupo chini ya fulani basi fulani atamfunga fulani, ingekua kujua matokeo ni rahisi ivyo kila siku watu wangekua wanampiga mhindi na kumbuka hozi takwimu sio mara zote zinakua sahihi kuna taarifa nyingi ambazo huwezi kuziweka wakati wa kuandaa takwimu.. kikubwa tusubiri tu iyo tarehe 13
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata yanga imepitwa na Saint George.
 
Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa tukuyu.....mbeya

Simba wameua.. kwenye sherehe yao
Km wee umekubaliiiii, baas hakun wa kupinga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kolo jibu hoja
 
Mkapigwa nani?
Umedata mwanasimba mwenzangu?

Yanga hatuwezi kuwafunga wale.
Aziza kei,Joyce na Bilinganya awana kitu wale,,mmepigwa,Mwamnyeto uchochoro Chama atamtembeza kwa mikono hataamini[emoji375][emoji375]
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unamaanisha kwamba Mbeya city ikiifunga simba basi haitafungwa na prisons ama!!?
 
Back
Top Bottom