mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #21
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu mwache tu atoe maoni yake mama ameruhusu uhuru wa maoniRage akiwaambia ni mbumbumbu huwa mnaanza kutukana.
Kwani bingwa wa nchi ambazo hizo timu zinapatina ni nani? Tuanzie hapo kwanza
Sio mbwembwe mkuu ni maoni tu. Kumbe Vipers sio timu etiPunguza mbwembwe, hapo hakuna timu ya kumfunga Yanga.
kabla ya kuosha vyombo wadeki nyumba kwanza,waende sokoni,wapike,watenge chakula kisha watoe vyombo wakaoshe.Kuwa aliyeko juu kwenye rank ya caf ndio atakashinda. Kwa maana nyingine washabiki wa Yanga wabakie nyumban tu waoshe vyombo
Bingwa anajulikana ni YangaKwani bingwa wa nchi ambazo hizo timu zinapatina ni nani? Tuanzie hapo kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umesahau na wadeki vyookabla ya kuosha vyombo wadeki nyumba kwanza,waende sokoni,wapike,watenge chakula kisha watoe vyombo wakaoshe.
Mpira haupo ivyo mkuu huwezi kusema kwa sababu fulani kamfunga fulani ambae yupo chini ya fulani basi fulani atamfunga fulani, ingekua kujua matokeo ni rahisi ivyo kila siku watu wangekua wanampiga mhindi na kumbuka hozi takwimu sio mara zote zinakua sahihi kuna taarifa nyingi ambazo huwezi kuziweka wakati wa kuandaa takwimu.. kikubwa tusubiri tu iyo tarehe 13Au wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba😁😁😁😁
Lakini kumbuka leo Kwa Mkapa Kuna waimba kwaya wapelekewa moto na MnyamaHyo mechi Simba atat[emoji16]Mbwa vizuri tyu.. mda utaongea wadau
Tukuyu.......msasani.....mabondeTukuyu sehemu gani mkuu
Hata yanga imepitwa na Saint George.Au wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Km wee umekubaliiiii, baas hakun wa kupinga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa tukuyu.....mbeya
Simba wameua.. kwenye sherehe yao
Ndio kwasababu tegemeo lenu Aziz domo,Bilinganya na Joyce wamechomesha mkapigwa mbili na Vipers utd.Yaani kuna watu wanawaza kabisa sisi simba tutawafunga yanga kweli?
Kolo jibu hojaAu wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkapigwa nani?Ndio kwasababu tegemeo lenu Aziz domo,Bilinganya na Joyce wamechomesha mkapigwa mbili na Vipers utd.
[emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkapigwa nani?
Umedata mwanasimba mwenzangu?
Yanga hatuwezi kuwafunga wale.
Uyo bilinganya ndio mchezaji gani tena mkuu?Ndio kwasababu tegemeo lenu Aziz domo,Bilinganya na Joyce wamechomesha mkapigwa mbili na Vipers utd.
Aziza kei,Joyce na Bilinganya awana kitu wale,,mmepigwa,Mwamnyeto uchochoro Chama atamtembeza kwa mikono hataamini[emoji375][emoji375]Mkapigwa nani?
Umedata mwanasimba mwenzangu?
Yanga hatuwezi kuwafunga wale.
yule aliyekuwa mtunza store Uingereza baada ya kukosa timu huko.Uyo bilinganya ndio mchezaji gani tena mkuu?
Unamaanisha kwamba Mbeya city ikiifunga simba basi haitafungwa na prisons ama!!?Au wewe yanga???