Kuelekea Mechi ya Ngao ya Jamii August 13, 2022

Lakini mkuu we unaona usajili mpya wa Yanga utaweza ku perform kwenye Mechi kubwa kama hii ya daby Kama wameshindwa kuperform kwenye friendly Mechi juzi na Vipers?
Mkuu ndo maana nikatumia neno "kikosi" na siyo usajili.
Asilimia kubwa ya vikosi vitakavyoanza siku hiyo, vitakuwa na wachezaji wenyeji (wa msimu uliopita) ambapo yanga ana advantage kubwa kwasababu wachezaji wake tegemezi wengi hawajaondoka na wana uzoefu na derby ukilinganisha na Simba sc ambayo ndo ipo kusuka kikosi kipya baada ya wachezaji wake kadhaa wa kikosi cha kwanza kuondoka.

Yanga kufungwa na Vipers siyo kipimo cha ubora wao, na simba kuifunga Saint George siyo kipimo cha ubora wao. Ubora wa timu unapimwa kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja, mbinu za kocha, Muunganiko wa timu, n.k, na yawezekana kufungwa kwa yanga ndo kukawafanya waje na spirit ya kushinda ili kuwapoza mashabiki wao kwa kile kilicho tokea juzi.
 
Tatizo uchawi,hii mechi uchawi,yanga wachawi sana
 
Hapo sawa mkuu umeeleweka
 
Wakati huo simba itakua inafanya nn??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio kwasababu tegemeo lenu Aziz domo,Bilinganya na Joyce wamechomesha mkapigwa mbili na Vipers utd.
Mlichofanywa mwanza mnakwenda kufanywa na dar 😁😁😁
 
Simba mambo yao yanaonekana wana watu wenye akili wanayoya plan

♦️Ukiangalia mpangilio wa Siku ya mwananchi ni wa kienyeji kuliko simba walivyoipamba siku yao. Kitendo cha kuweka viingilio vikubwa kilisababisha uwanja usijae kwani mashabiki wa kima cha chini ambao ndio wafiatimu walishindwa. Tukumbuke kuwa nyomi la mashabiki ndio inakuza brandi ya timu na ndio pesa zenyewe kwani wadhamini wanavutiwa

Yanga wamedanganywa na manara kuwa bila yeye uwanja haujai na hata wakiweka koingilio chochote akipiga domo watu wanajaa,kitu ambacho sii kweli mbona Simba wamejaza ni manara kajaza? Kitendo cha Tanga kuksidi hukumu ya TFF dhidi ya manara wamejiingiza kwenye mgogoro usio na sababu.

Ussjili,Yanga imetumia nguvu na hela kubwa kumsajili mchezaji mmoja wa maana, wengine wakalokoteza lokoteteza zalookauka. Je! Huyo mmoja ndio atabadilisha timu?

Wenzao wamevhelewa lakini wakafanya usajili wa vijana wa maana na wenye kasi na wameendana na mfumo kwa haraka.

Viongozi wa yanga ni vijjana na wanaendesha timu kisela.

UTABIRI
Huu unaweza kuwa mwaka mbaya wa migogoro mkubwa ndani ya wananchi, wa kufukuzana na kushutumiana. Anayeitwa pfofesa sasa atalaumiwa na sidhani kama atamaliza msimu. Anaye itwa screen protector leo sijui katikati ya msimu ataitwaje
 
Labda kimataifa yanga anaweza kupata matokeo mabaya.
Ila hizi timu za ndani sioni kama ipo inayoweza chukua point 3 kutoka kwa Yanga haipo. Simba labda akomae hiyo tarehe 13 waende hadi matuta anaweza kubahatisha lakini hivi hivi kumpiga yanga ni ndoto za mchana.
 
Mpira ungekua hivyo betting ingekua rahisi sana
 
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka iyo tarehe 13/08/2022
Yanga anaenda kuteseka sana ila simba anaweza kuadabishwa kwa makosa yake
Simba beki zake inaruhusu sana mpizani kumiliki moira usoni pake hilo ndio litawagharimu sana
 
Kwanini watu makolo mnapendana sana kutabiri?
 
Sioni kama Yanga ananafasi yakushinda hiyo game lakini achatuone
Mkuu, wewe mpira unaongaliaje?? Kimpira Yanga wamecheza kitimu, kuliko walivyocheza Simba. Kila mmoja anacheza kivyake.

Sijui lkn kwa nilivyoona namna ya vikosi na uchezaji wao kama kubet basi 60% Yanga atashinda na 40% za Simba kutoboa.
 
Yanga anaenda kuteseka sana ila simba anaweza kuadabishwa kwa makosa yake
Simba beki zake inaruhusu sana mpizani kumiliki moira usoni pake hilo ndio litawagharimu sana
Si mbeLe ya Mohammed outtaRa uLimwangaLia Lakin_?? Jamaa kitasa haSwAa utabiri wangu kwenye derby duh nashindwa tusuburi mech yenyewe simba bado hawana kiungo mkabajii
 
Hpa kila mtu ataongea kiushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…