Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu nyingine ambayo IMEKUNG'UTWA (5x2)+2.AS Vita Club haitoki salama, itapigwa vibaya kutokana na uwezo wa Simba SC kutumia vema Uwanja wa Taifa, MKAPA STADIUM, kwa kuwachinja wapinzani wao hatua ya makundi kila aliyetia mguu Kimataifa.
Vilevile kumbuka na fahamu kwamba kwenye kundi D hakuna timu ambayo imeshinda ugenini, wala kupoteza mchezo (kufungwa) nyumbani, kila timu imeshinda nyumbani kwake.
This Is 5imba SC...5imbaNguvuMoja.
Unajua Mbumbumbu FC mna shida kubwa sana ya ufahamu vichwani na ndio maana Manara anaweza kuwagonga FIX ameandika barua FIFA nanyi mkakubali. Wewe Ghazwat , kama kila timu imeshida nyumbani kwake, mbona kuna timu 2 zina points 7?
Mnajijaza mapovu kichwani baadae mnaanza kulia hovyo, au unafikiri Bana Congo nao ukiwaweka juani wanachemsha engine kama Waarabu?