OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
TFF wanasema hawakujua kama Simba watafika hatua hii. Tumewaambia basi mwakani tunarudi na ndoo,wajue la kufanyaHivi Mfano Simba tungesonga nusu fainali CAF CL ligi ingemalizika ndani ya muda kweli?.. Tungekuwa na viporo hadi vimoro kabisa.
TFF + BODI YA LIGI wabovu kichwani.
za kutosha tu.Mkuu mjingamimi Unadhani leo TP Mazembe wanakula ngapi kutoka kwa Azam FC?
leo lazma wachezaji wajifungishe.kisa mishaharaKila la kheri timu ya wananchi! Iwe jua au mvua ushindi lazima! Chapa huyo ndugu yake mikia!
Kilichokuwa kinawapigisha kelele ni nini sasa.. Au hesabu ndio hamjui.Timu mbili zimefanikisha hilo.
Simba = 15 pts.
Young Africans = 3 pints.
Kwa hiyo tukiingia Champions league ni halali yetu, ni matokeo yaliyochangiwa na timu yetu pia.
Hawa TFF bhana utafikiri wao na vitambi vyao ndio wanacheza.TFF wanasema hawakujua kama Simba watafika hatua hii. Tumewaambia basi mwakani tunarudi na ndoo,wajue la kufanya
mikia FC na akili zao.Kila la heri Azam FC...Mungu awatangulie zidisheni maumivu huko Jangwani
akili za kipopoma hizo.Yanga wameahidiwa 5000 kila mchezaji wakiifunga Azam,hii sio haki
Tunamtaka yule refa aliechezesha mikia vs kmc achezeshe leoNawatakia heri Azam FC wawafunge Wakongomani (AS Vita, Tp Mazembe) [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha Msije kimbia Jukwaa...Azam Oyeeee!
Jirani hawa Yanga si wakuwasimanga tena maana wanatia huruma mno.Ewaaaaa jirani
Miaka 4 mlileta points 3 Simba mwaka mmoja Points 15.Mpo hopeless sanaTimu mbili zimefanikisha hilo.
Simba = 15 pts.
Young Africans = 3 pints.
Kwa hiyo tukiingia Champions league ni halali yetu, ni matokeo yaliyochangiwa na timu yetu pia.
Mmetumia rushwa na figisu mapafyum ya maiti anayouza ManaraMiaka 4 mlileta points 3 Simba mwaka mmoja Points 15.Mpo hopeless sana
Mzuri aliyechezesha kati ya Yanga na mtibwaTunamtaka yule refa aliechezesha mikia vs kmc achezeshe leo
Wifi yenu Azam kaleta ngapi?Miaka 4 mlileta points 3 Simba mwaka mmoja Points 15.Mpo hopeless sana