Kuelekea mechi ya 'TPL' Stand Utd dhidi ya Simba SC, Mnataka Mfungwe Mabao Mangapi?

Eti walikwenda Bariadi wakamfunga Chura leo Haji Manara kawaambia msimu ujao waende Meatu.
Wamemfunga kibonde mwenzao wakaanza maneno. Leo wamenyamazishwa. Tena refa kakataa penalti ya wazi.
 
Mkuu King Ngwaba nadhani wamekusikia kama ulivyosema 2 tumalizane..!

Halafu nyie mashabiki wa Simba SC mbona kila mkisemacho ndicho kutokea?

This Is Simba...NguvuMoja[/B]
Hawa Madogo wa Stand nawashauri tu wakibali tuwapige 2 tumalizane.

Wakileta ubishi basi 3G zinawasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…