Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyamaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Raha kama zote...Kituo kinachofuata ni Uarabuni..!View attachment 1037036
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi tutafungwa lini simba?
Mkuu umenichekesha sana. Umesababisha nianze kusahau ya Ruge![emoji23] [emoji23] [emoji24]Hivi tutafungwa lini simba?
Mwarabu ajiandaeMnyamaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna watu wanatamani kusema stand utd mbovu lakini wakikumbuka kilichowakuta wanajikuta wanakaa kimya wenyeweMkuu umenichekesha sana. Umesababisha nianze kusahau ya Ruge![emoji23] [emoji23] [emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Madogo wa Stand nawashauri tu wakibali tuwapige 2 tumalizane.
Wakileta ubishi basi 3G zinawasubiri
Shadeeya amkaSimba imeshusha mizigo miwili pale stand na kupakiza mingine kwenda nayo Algeria.
Simba nguvu moja Shadeeya
YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YA JS SOURA SASA SWAHIBA.
Aiseeee. Hongera Mtani.Haya mtani Shadeeya tunakutana wapi sasa..Maana Stand Utd amechagua kushuka kituo chao na mizigo miwili.
Kila ninenalo lina uhalisia..Simba ni kama dawa ya RUNGU kuua wadudu wanaoruka na kutambaa..This Is Simba
DUUH. JEURI INATOKA WAPI MTANI?Mwarabu ajiandae
hivi tutafungwa lini sisi mtani?DUUH. JEURI INATOKA WAPI MTANI?