Kuelekea mechi ya VPL' Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar, Safari ya Ubingwa Inaendelea

90+3

Kuelekea kumalizika kwa mpira

Naaaaaaaaaaaaaaam Mpira umekwisha ambapo Simba SC wameweza kukusanya alama tatu muhimu kwa kuibuka na ushindi wa bao mawili kwa moja dhidi ya Mtibwa Sugar

Mabao kwa Simba Maddie 17' Miraji 68' na Mtibwa Sugar Riffat 21'

Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar
 
Pole sana, Simba SC wamekunyamazisha kimya, unatamani hata ujiue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....SimbaNguvuMoja
Mtibwa kama Ud Songo kajitwalia mwali sioni utashindwaje na ww kujipigia huyo mwali mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…