Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
linafungwa goli la kikatiliiiiiiiiiiiiiiiiiiii na miraji ATHUMANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]68' Goooooooooooooooooooaaal Miraji Athumani anaandika bao la pili
Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar
Hii ilikuwa ni match ya utangulizi68' Goooooooooooooooooooaaal Miraji Athumani anaandika bao la pili
Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar
Nakusalimia dada akeeTumewashika pabaya mwaka huu. Yaani siamini kama mnaeza andika kinyoonge namna hii Ses. 😎😎😎
Hahahahah!!!!!Hili goli moja lililofelia kukamilisha tatu litatimizwa hapo kesho na zesco