Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nayule alivyo Lunyasi lia lia aezi shindwa.Msomali lazima atawapambania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayule alivyo Lunyasi lia lia aezi shindwa.Msomali lazima atawapambania
Ila ndio ajue siku zote maneno huumba.Manara huko ukikeni amepunguza kelele kidogo baada ya kikosi chake ghali kufa sebuleni kwao
Mmekuwa wanyonge sana Mtani kama sio nyie msimu ule. Yaani hatukunywa maji.Yaani unasema tumekuwa wanyonge?
Dah, masikini akipata bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nitakusubiri mamii ingawa najua mnaenda kututia aibu kwenye uwanja wa nyumbani😍😍Nna la njano lake Ses kesho ntakuja nalo twende tukaishangilie timu ya Wananchi kule kwa Mkapa. 😍😍😍
Mpira ni sayansi siku hizi mpenzi, wa kufa anajulikana mapema hakuna cha bahati wala nini kwahiyo safari hii mnaelekea kibla tu mapemaaaTatizo zile mechi hazijawahi kutabirika Sesten. Usije taka zimia tu kwa kutoamini yatakayotokea.
Hizi kauli tulishazizowea sisi Wakimataifa. Teh teh teh.Haya nitakusubiri mamii ingawa najua mnaenda kututia aibu kwenye uwanja wa nyumbani😍😍
Amakweli hutupendi hata kidogo Lunyasi, unatutabiria tutaisha kwa Mtibwa! Vijana wetu wale tumewalia tunawajua vizuri wala hawatatusumbuaMtihani ni pale leo litakapompata mwewe Ses. 🤣🤣🤣
Sisi hatukutolewa kindezi Shadeeya tulikufa kiume( ukija ntakwambia maana ya kufa kiume😍)Hizi kauli tulishazizowea sisi Wakimataifa. Teh teh teh.
Hamna cha aibu wala nini kama nyie tu hamjaiona aibu ile iweje sisi iwe aibu Ses.
Hahahaaa! Bakia hapo hapo love mwisho wa siku nyie ndio munaelekezwa kibla.Mpira ni sayansi siku hizi mpenzi, wa kufa anajulikana mapema hakuna cha bahati wala nini kwahiyo safari hii mnaelekea kibla tu mapemaaa
Yaani Ses na zile wenge za kutolewa Champions league si ajabu hata mkasuluhu. 😎😎😎😎Amakweli hutupendi hata kidogo Lunyasi, unatutabiria tutaisha kwa Mtibwa! Vijana wetu wale tumewalia tunawajua vizuri wala hawatatusumbua
Tooobaaa!!! Ses kufa kiume ndo vilee??? 😳Sisi hatukutolewa kindezi Shadeeya tulikufa kiume( ukija ntakwambia maana ya kufa kiume😍)
Nyie nakumbuka kuna mwaka mlichezea kichapo hapo taifa kutoka kwa Makhirikhiri
Matako hulia mbwataaa, ni methali ya wahenga hiyo mkuu😃😃😃Yaani unasema tumekuwa wanyonge?
Dah, masikini akipata bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subutuuuu, masihara hayo ShadeeyaYaani Ses na zile wenge za kutolewa Champions league si ajabu hata mkasuluhu. 😎😎😎😎
Hao hua tunawapiga mbili mbili tu hatutaki kuwanyanya saanaHahahaaa! Bakia hapo hapo love mwisho wa siku nyie ndio munaelekezwa kibla.
Enheeee!!! Hivyo leo munashinda ngapi kwa Ntibwa?
Ndio vilee nilivokwambia mamiiTooobaaa!!! Ses kufa kiume ndo vilee??? 😳
Nahifadhi hii kauli kwa matumizi ya baadae Ses. 😎😎😎Hao hua tunawapiga mbili mbili tu hatutaki kuwanyanya saana
Na masaa yamebaki machache tu ShadeeyaNahifadhi hii kauli kwa matumizi ya baadae Ses. 😎😎😎
Hakika.Na masaa yamebaki machache tu Shadeeya