Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Nini tena? Isije kuwa bwana Ngoyai atarudi CCM hiyo kesho?
 
Kumbe na wewe ukivimbiwaga unapoteza koki no end break....haya kakojoe ulale sasa na usidai hata nyongeza ya buku2/7.
 
ramli chonganishi zimepigwa marufuku na serikali!
 
Huyu jamaa ananikumbusha mwaka 2000 na mambo ya Y2K!
 
Hivi ni CHADEMA ndiyo inayoifanya CCM iwe dhaifu na kushindwa kufikia malengo yake??
 
Woga kama wa kunguru! wewe chama chako kinafanya uchaguzi wa mwenyekiti (shughuli muhimu kabisa) lakini unakosa usingizi kufikiri yatakayotokea kwa wapinzani wako!
 





Jambo pekee wanaloweza kulifanya ccm na ambalo si geni kwa siasa za Tanzania ni matumizi ya fedha kuwarubuni na kuwanunua wapinzani uchwara ili kuuhadaa Umma wa Watanzania eti wanamuunga mkono na kumkubali mwenyekiti wa ccm.Hizo ni siasa nyepesi ambazo hazitaweza kulisaidia Taifa kutoka kwenye mkwamo tulionao.


Taifa hili halihitaji siasa chafu za aina hiyo,linahitaji mipango thabiti yenye lengo la kulikwamua toka kwenye utegemezi,leo hii hadi wale waliojiapiza kutohitaji msaada toka kwa yeyote,sasa wamesalimu amri na kuyaangukia mabilioni ya Uchina.Kiko wapi kiburi chao cha awali? Wapo wapi waumini wa #dini mpya ya #HapaKaziTu?Wafuasi wa "mtakatifu" hawawezi kuwa na lolote la maana kwa Taifa letu zaidi ya kujipendekeza ili wapate mlo wao.

Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana kusema CHADEMA hawataamini yatakayotokea,kwani CHADEMA ni wakina nani? Ni wakimbizi waliokimbilia nchini au ni Watanzania wanaopigania ustawi wa Taifa lao?CCM unayoishabikia leo ndiyo hiyo hiyo iliyolitawala Taifa hili na kulifikisha hapa lilipo,leo hii wamekuja na muujiza gani hadi ujitoe ufahamu kiasi hicho?
 
CCM ni kiroja kweli, mfano wakiamua kumfukuza Nape kwa usaliti dhidi ya Magu watakuambia tumewakomesha Chadema. Sasa hapo kuna akili kweli?
 
Badala ya kuhangaika kutaka kuiua CDM mngehangaika kutupa maisha bora kwa kila mwananchi. Cdm hata ikifa inatakiwa ujue kuwa zaidi ya nusu ya waTz hawaipendi ccm, kwahiyo watahamia kokote mradi waipinge CCM
 
Baada ya baadhi ya watu kukumbwa na wimbi la uchaguzi wa mwaka jana 2015, kesho kuna mamia ya makada walioondoka CCM wanarejea tena. Katika kundi hilo wapo Msindai, Lembeli, Nzungu, Mwapachu, na zaidi vijana 260 walioondoka na Lowassa wanarejea rasmi...

Katika kundi hilo la vijana wapo waliokuwa wenyeviti wa UVCCM, wapo pia vijana maarufu wa kwenye mitandao.
 
Hayatuhusu, hayo ni mazingaombwe yenu mtajuana huko huko wafu zikaneni wafu kwa wafu.
 
Likes 1000
S
 
Huu utoto haujawahi kuisha? Kuwahadaa watanzania kuwa CCM ni bora bado?
 
Nampenda sana Wassira. Kwa hisani ya huyu mzee na mahakama kuu kanda ya Mara, tutasikia sauti za wapinzani jukwaani hivi karibuni
 

Mkuu TandaleOne

Amani iwe nawe na Pole kwa Majukumu Mazito uliyotwishwa.

Nakumbuka ulishawahi kusema kuwa umeachana na all Social Media ukiacha Twira ? Mbona tena JF ?????
Hii Taarifa ungeipeleka Kule Twira ambako identity yako haiko withheld ingekuwa na Mashiko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…