Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Hamna mtani siyo kwamba zile khamsa ndo zilinikimbiza bali nilibanwa na mambo flani flani, ila umejiandaaje na hizo khamsa siku ya jumamosi [emoji3]
Nakuona nakuona Sapta. Mechi ya Watani imekuibua.

[emoji23][emoji23][emoji23] kipindi kile cha Khamsa Khamsa hukuonekana kabisa hizi maeneo [emoji23][emoji23][emoji23]

Naomba nichagulie basi Mtani. [emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakupongeza sana mkuu Shadeeya kwa kuwawalisha vema WanaYanga kwa kuwa baadhi yao wanaogopa mno kutia neno kuelekea hii Derby ya Kariakoo[emoji23][emoji3]

Shukran Mtani. Itakuwa kwao Network zinasumbua au simu zimekwisha chaji na umeme umekatika sababu sio kawaida yao. Teh teh.

Nakubali timu yetu mbovu ila kukata tamaa ni mwiko mpaka tone la mwisho Mtani yaani dkk 90 zikishapita ndio nitaamini kwamba mmetufunga.
 
Yanga lazima wachuchumae tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza huu mwoko ni wa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The waiting is over.. Dar es Salaam Derby

Young African vs Simba Sports Club..

Nawashauri tu mashabiki wote wa Gongowazi FC, Mbute Mbute[emoji196] mjiandae Kisaikolojiaa hapo Kesho..
#TukutaneKwaMchina..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…