Eti boxer! yule anayecheza mpira bila ufundi hata tone moja, hamna beki chochoro kama yule kwa forward mwenye akili kama Okwi mark my words ntakuquote tena baada ya mechi ya kesho.Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Unafananisha Juuko Murshid na taka takaNashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Huyo emunike si Kichaa Kama wachezaji anaowapangaKiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake

Nmecheka hapo kwenye Ngasa vs Okwi[emoji23]Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Mie Alhamdilillah niko salama Dada. Za kupoteana?Dada nakusalimia tu mm
Amunike nae kocha, tunafungwa mpaka na SwazilandHuyo emunike si Kichaa Kama wachezaji anaowapanga
Kwahiyo Yule ally mtoni anaempanga kumuacha Yondani nje ndio unamuona kocha huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina la Utani ukilikataa ndio linavuma zaidi.
Hawana jinsi,Wiki ngumu Sana kwa Yanga hii,wakijiuliza golini akae Kabwili au Kindoki hawaoni unafuu wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamka poaDOOOH. Wacha yangu yawe macho na masikio tu maana kwenye huu uzi nitayaona mengi hasa kutoka kwa Watani zangu hali ya kuwa hata mpira haujachezwa bado. Teh
Haya Mujitahidi Mujae Uwanjani basi msiishie hapa.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"