mbumbumbumbumbumbumbumbumbu fcWalikua wanashangilia hamsa hamsa...Sasa imefika zamu yao wanaanza kulia Nuhu awafungulie Safina.
Wenyewe wamekataza kupaita kwa mchina[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi ule mwingine ndo Shamba la Bibi eeeh. Btw michezo ina lugha zake huturirika kama maji huwezi kuipangia.
Siyo siri simba vs yanga on paper simba ana wachezaji bora kuliko yanga.
Kitendo chao cha kujiona bora na kuwabeza yanga ndiyo kitakachowagharimu..
Number don't lie..ukiangalia stats za head 2 head simba ni underdog kwa yanga.
my prediction...Yanga to win 2-1
Sent using Jamii Forums mobile app
vyura hawatabiriki jamani ndugu zangu! USIJE KUONA MPIRA UKAANZIA NJE KAMA SIKU ILE AJIB ALIVYOFANYA