Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Mimi ni mnazi wa Simba lakini nimeota jana Mechi itaisha kwa droo ya 1-1

Simba wataanza kufunga alafu Yanga watasawazisha. Mwishoni Simba watapata penalty ambayo bahati mbaya wataipoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vyura hawatabiriki jamani ndugu zangu! USIJE KUONA MPIRA UKAANZIA NJE KAMA SIKU ILE AJIB ALIVYOFANYA
 
common kwa mchina...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo siri simba vs yanga on paper simba ana wachezaji bora kuliko yanga.

Kitendo chao cha kujiona bora na kuwabeza yanga ndiyo kitakachowagharimu..

Number don't lie..ukiangalia stats za head 2 head simba ni underdog kwa yanga.

my prediction...Yanga to win 2-1

Sent using Jamii Forums mobile app

SIMBA HAWATOTAKA DHARU KABISA, WANA WAKATI MGUMU KATIKA LIGI KWA HIYO HAPUUZWI MTU USIJIPE MOYO
 
Back
Top Bottom