Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,

Am 50+ no ndoa no mtoto πŸƒπŸƒπŸƒ
Hapo kuna wanaume wenzangu wanaombea uendelee kuwa hivyohivyo,wakutumie kama gari la kujifunzia,halafu waoe wanawake wengine.Inqsikitisha sana.Yaani wao wanataka usiolewe ili wawe huru wakikutaka,pasiwe na kikwazo chochote.
Aisee.
 
Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,

Am 50+ no ndoa no mtoto πŸƒπŸƒπŸƒ
Miaka 50 huna ndoa huna mtoto , ni kwa mipango yako na mapendeleo na maamuzi yako wewe mwenyewe tangu usichana wako ? au ilitokea tu lakini haikuwa malengo yako kuwa hivyo? Jane Msowoya
 
Hawa bado bado kidogo. Wanaita.
Tusiwapuuze hawa wa miaka 45 - 55, unaweza kukutana nao; sura na mwili bado wapo bomba/wanaita kuzidi hawa GEN Z daadekiπŸ˜ƒ

Suala hapa ni jinsi mtu anavyojitunza tu! Kama hatumiki sana kimwili na kiakili, ataendelea kuita tu. πŸ˜‹
By 2025

Wa 2000 kamili-25 Wa 1999-miaka 26, 1998-miaka 27 1997-miak 28, 1998-miaka 29
(hili kundi nalo vipi)
 
Miaka 45 wanini Sasa akajifie huko πŸ₯Ά
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…