Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ila jamani kama una kizazi huna matatizo,zaa tu angalau mtu aje naye alone Dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambaye hajaolewa anione...Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.
Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
🤣🤣🤣kahaba pro max au sioSo, Mkuu kwa kifupi wewe ni kahaba
BaambieKisayansi kwa sasa hivi hata mwanamke wa miaka 70 anazaa! Acheni utoto wenu. Jane Msowoya ndiye hero wangu wa 2024
Asante sanaNawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.
Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Ila mbwato!??Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣nitakie kheri ya mwaka mpya basiIla mbwato!??
Heri ya mwaka mpya .....🤣🤣🤣🤣nitakie kheri ya mwaka mpya basi
Kwani lazima kuolewa?Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.
Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Kwani wanapungukiwa nini?Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.
Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Usimfananishe Sarah na hawa wahuni wanaokaa vikao kutambiana kama wavulana 'nimepita na fulani na fulani na fulani na.....'usiwakatishe tamaa Sarah wa Ibrahim alipata mtoto akiwa na umri gani?
Kwanza jifunze maana ya IVFWhy IVf Kwann mtu asitumie njia za kawaida
Happy new year!Baambie
MigegedoNIni wamekosa?
30+ huyo sii kazhagegedwa mpaka mbususu imelepweta🤣🤣🤣🤣Kwanza jifunze maana ya IVF
Happy new year!
! Nimependa msimamo wako. Watoto wanateseka sana kuzaliwa nje ya ndoa. Mtoto yeye anapenda kuona kila mara baba yupo kulia na mama kushoto.
Inanoboa kuona binti ati ni mama! Na wengine miaka 23 wana watoto wawili bila ndoa. Hata na ndoa, binti inafaa kuolewa akiwa 30+ Kwa maisha ya sasa na anasa zilizomo, binti under 26 hawezi olewa akafika 50 bado hajaachika. Ndiyo maana tunaona instabilities nyingi katika ndoa.
Una uhakika?Migegedo