Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.

Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Ambaye hajaolewa anione...

...Ni Hayo Tu!!
 
Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.

Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Asante sana
 
Kwani lazima kuolewa?
 
Kwani wanapungukiwa nini?
Nadhani ungewasikitikia iwapo afya zao zingekuwa matatani kutokana na kukosa wanaume
 
Why IVf Kwann mtu asitumie njia za kawaida
Kwanza jifunze maana ya IVF
Happy new year!

! Nimependa msimamo wako. Watoto wanateseka sana kuzaliwa nje ya ndoa. Mtoto yeye anapenda kuona kila mara baba yupo kulia na mama kushoto.

Inanoboa kuona binti ati ni mama! Na wengine miaka 23 wana watoto wawili bila ndoa. Hata na ndoa, binti inafaa kuolewa akiwa 30+ Kwa maisha ya sasa na anasa zilizomo, binti under 26 hawezi olewa akafika 50 bado hajaachika. Ndiyo maana tunaona instabilities nyingi katika ndoa.
 
30+ huyo sii kazhagegedwa mpaka mbususu imelepweta🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom