Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wakuonewa huruma maana haina jinsi TENAA.Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
Nmekumiss mama laoUnawahurumia wewe kama nani? Watapewa wazee wenzao .
Hapo kuna wanaume wenzangu wanaombea uendelee kuwa hivyohivyo,wakutumie kama gari la kujifunzia,halafu waoe wanawake wengine.Inqsikitisha sana.Yaani wao wanataka usiolewe ili wawe huru wakikutaka,pasiwe na kikwazo chochote.Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
Sasa cha ajabu nini mtu wa 1985 mwakani ana miaka 40 mtu WA 1975 Ana 50 next yearInasikitisha eti mtoto wa 2005 now ana 20 sipati picha wa 90s
Wanasema mvinyo jinsi unavyozidi kukaa ndivyo unavyokuwa mtamu...umenielewa😆Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
usiwakatishe tamaa Sarah wa Ibrahim alipata mtoto akiwa na umri gani?Hao wasahau tu tena wachukuwe maamuzi magumu kama bado hawajapata watto
Unachotaka kuniomba Sina, inshort Sina Hela SikukuuNmekumiss mama lao
Miaka 50 huna ndoa huna mtoto , ni kwa mipango yako na mapendeleo na maamuzi yako wewe mwenyewe tangu usichana wako ? au ilitokea tu lakini haikuwa malengo yako kuwa hivyo? Jane MsowoyaHuwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
Kila kitu kina umuhimu wake.Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto [emoji125][emoji125][emoji125]
By 2025
Wa 2000 kamili-25 Wa 1999-miaka 26, 1998-miaka 27 1997-miak 28, 1998-miaka 29
(hili kundi nalo vipi)
Hata pesa haina haja kumshauri mtu eti atafute pesa, kila anayeishi lazima atafute pesa tuKila kiumbe kina faida yake kwa wakati wake,
Halafu nani alikuambia kila mtu duniani lazima aoe na kuolewa?
Akili ya kipuuzi kabisa,nadhani ungejikita zaidi kuwashauri watu watafute pesa ili kuukimbia umasikini.
Hawa bado bado kidogo. Wanaita.
Tusiwapuuze hawa wa miaka 45 - 55, unaweza kukutana nao; sura na mwili bado wapo bomba/wanaita kuzidi hawa GEN Z daadeki😃
Suala hapa ni jinsi mtu anavyojitunza tu! Kama hatumiki sana kimwili na kiakili, ataendelea kuita tu. 😋
Safi sana! Nakuunga mkono. Ni Upuuzi kuzaa mtoto bila ndoa.Huwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
Lakini mashine unapelekewa usituzugeHuwa siwaelewi wanaume mnapodhani ndoa ni msaada kwa mwanamke,
Am 50+ no ndoa no mtoto 🏃🏃🏃
Kisayansi kwa sasa hivi hata mwanamke wa miaka 70 anazaa! Acheni utoto wenu. Jane Msowoya ndiye hero wangu wa 2024Oya mama Unazngua bana wewe wazazi wako wangekunywa coca na mchai Chai au dingi akamwaga nje wewe ungekuwepo?
Haya mkubwaKisayansi kwa sasa hivi hata mwanamke wa miaka 70 anazaa! Acheni utoto wenu. Jane Msowoya ndiye hero wangu wa 2024