Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

Kama kuna mtu is depressed Kwa kukosa marriage or kids afanye hivi.

Ajiwekee utartibu wa Ku-give back to the society kutokana na uwezo wake, alionao .

And ur life will back again .
 
Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.

Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
Kwani kuolewa ni basic need? Mbona mnakuwaga wapumbavu sana nyie??,
 
Kila kiumbe kina faida yake kwa wakati wake,

Halafu nani alikuambia kila mtu duniani lazima aoe na kuolewa?

Akili ya kipuuzi kabisa,nadhani ungejikita zaidi kuwashauri watu watafute pesa ili kuukimbia umasikini.
Hizi ni hatua muhimu kwa maisha ya binadamu, wakati mwingine usipozipitia unakuwa kinyume na asili, jamii na hata mbingu zinakushangaa kwa kupoteza muelekeo.
 
Tatizo wanachambua wanaume kama karanga,unakuta mwanamke ana vigezo kama 20+ kwa mume amtakaye
ATATOBOA?

Hamna namna watakuwa single mother plus kuzeekea kwao
 
Nahisi kuna mda hata MUNGU huwa anasikitika vitendea kazi aliwapa vya nini,sawa na mtu umpe viatu alafu umuone anatembea peku
 
Back
Top Bottom