Kampeni ni nyumba kwa nyumba na clips za mgombea Urais zinaonyeshwa kwa laptop au iPad.Kuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CDM haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.
Itakuja awamu ya mtaa kwa mtaa kitanda kwa kitandaKuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CHADEMA haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.
Hakuna mbinu mnayopanga ya kuchakachua matokeo na kuiba kura haitajulikanaBaada ya Uchaguzi Mkuu tutarudi hapa kuwakumbusha maneno yenu!
Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania 2020 labda CCM ya 2025 ambayo kutakuwa hakuna Rais anayetetea kiti chake na igawanyike makundi!
Hakuna kura zitakazoibiwa bali kipigo kwenye sanduku la kura kitakuwa kama cha mbwa koko!Hakuna mbinu mnayopanga ya kuchakachua matokeo na kuiba kura haitajulikana
endelea kujifarijiKuna kila dalili za Tundu Lissu kulipia kundi la undecided group. Kuna mengi mtayasikia yanayomhusu mtu yule msiwe hata na hamu ya kulitazama bango lak
Kuna kushinda na kushindishwa.Baada ya Uchaguzi Mkuu tutarudi hapa kuwakumbusha maneno yenu!
Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania 2020 labda CCM ya 2025 ambayo kutakuwa hakuna Rais anayetetea kiti chake na igawanyike makundi!
Vyovyote vile utakavyofikiria lakini elewa kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania 2020!Unajifariji au unatetea teuzi?
Muda uko wapi mkuu... Mpaka sasa amepita majimbo mangapi na amefanya mikutano mingapi compare to opponent wake. Swala lilikuwa kuunda timu za kampeni zizunguke na sehemu zingine ufqnis mkubwa ungeonekana.Itakuja awamu ya mtaa kwa mtaa kitanda kwa kitanda
Kuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CHADEMA haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ng’ombe ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki...