Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

Baada ya Uchaguzi Mkuu tutarudi hapa kuwakumbusha maneno yenu!

Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania 2020 labda CCM ya 2025 ambayo kutakuwa hakuna Rais anayetetea kiti chake na igawanyike makundi!
Tatizo wakuu hum mnajiamisha Sana na neno (hawezi) ,inamaana Bado mna fikra za miaka 30 iliyopita kwamba ushindi kwa chama tawala ni lazima,kitu ambacho kwa Sasa na nyakati hizi ni ngumu kuendelea nafikra Kama hizi.

Hakuna chama kinajipigia Kura ,wanaopiga Kura ni wananchi na Kama mgombea ana huakika wa kushinda na Kura Cha wananchi hazina maana kwake why kuangaika na kupiga kampeni?

Kwenye ushindani wakati umeweka matumaini katika njia zako za ushindi ambazo umezoea , una kuta mpinzani wako kajipanga zaidi Mara tano ya mbinu hizo ,hivyo usitegemee kwamba miaka nenda ludi utashinda kwa mbinu hizo ,hizi hufika wakati usiokua na saa Wala siku hubuma,na miti yote kuteleza,
 
Kuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CHADEMA haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.
Kwani Katoro ni mjini?
 
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki...
Amini amini nakwambia, Tundu Antiphas Lissu anaenda kushinda kwa kishindo kikubwa sana uchaguzi wa mwaka huu!! Watanzania wanaenda kuishangaza dunia mwaka huu. Lissu anashinda na kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020- 2025

Sioni namna Magufuli atamshinda Tundu Antiphas Lissu. Nasema tena sioniiii
 
Kuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CHADEMA haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.

Vijiji wako wawakilishi...pia si kwa wakati huu vijijini watu wanapata taarifa sana tu.....
 
Mkuu Sky Eclat katika upigaji kura wa uchaguzi huu kuna wana-ccm watafanya yao wamechoka pia na style ya mkuu anavyowapeleka.....kwa ukweli hakuna anayependa kufokewa eti kwa kuwa tu wewe una amri juu yake....watu wameshamchoka wanasubir 28.10
 
Amini amini nakwambia, Tundu Antiphas Lissu anaenda kushinda kwa kishindo kikubwa sana uchaguzi wa mwaka huu!! Watanzania wanaenda kuishangaza dunia mwaka huu. Lissu anashinda na kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020- 2025

Sioni namna Magufuli atamshinda Tundu Antiphas Lissu. Nasema tena sioniiii
Mkuu Lord! huoni kwamba kwa mkutano wa kampeni mtu anatoa maagizo ya ki-serikali na anatoa muda wa utekelezaji, hii itaweza kutoa ushawishi mkubwa kwa wapiga kura na hivyo kupelekea TAL kutokuwa Rais wa JMT?
 
Hiyo ni Rushwa. Na watanzania pia sio wajinga. Kama hukutoa maelekezo hayo miaka 5 Kwa nini uje utoe kipindi hiki cha kampeni???? Hawawezi kulaghaiwa kwa siasa za kishamba za ccm
 
Kuwapata hao undecided aende vijijini; siyo kupita mijini tu. Ubaya ni kwa vile huko vijijini, CHADEMA haina infrastructure kabisa. Kwa hiyo hawezi kwenda kwa sababu hakuna wa kutangza ujio wake.
Jaribu kuangalia nyomi la Lissu la kule Kyerwa afu ulete mrejesho.. usikariri
 
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki...
Sky, kura za watumishi na wafanya biashara hizo zitajibiwa na kundi la wachimbaji wadogo wadogo walioachiwa mashimo ya wazungu , wachimbaji wadogo wadogo zaidi ya 10ml. Walio tayari Nchi hii ambao wameshajipa utaratibu kuwa siku ya tar 28 oct 2020 hakuna kufanya kazi wte kwenda kupiga kura.

Bado kule vijijini wananzengo wanawaita wapinzani (yamageuzi) wanawaona watu wamageuzi km mapolice vile, naile langi yao nyekundu inatafsiliwa kuwa wanataka kumwaga dam, kuna ile nyeusi inatafsiliwa niya msiba wanasema wataleta misiba,

Nikuhakikishie hakuna mwaka mgum kwa uchaguzi kwenye vyama vya upinzani km mwaka huu.
Wakizubaa hawatafikisha wabunge hata 6.
 
nchi hii kuna kundi la wananchi wachache sana wanaoischukia serikali ya jpm,kwa manufaa yao halizidi watu milioni 1.

sijui ni kwa namna gaji linawezakupambana na kundi kubwa la wananchi wanufaika wa serikali hii.

mgombea upinzani anasema hatuwezi kula madaraja,sasa sijajua kama tunaweza kunywa hata uhuru wa kujieleza anaohubiri???
 
Vyovyote vile utakavyofikiria lakini elewa kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania 2020!
Huo ndiyo ukweli brother, ni bora Tz iwe kama Libya kuliko kumkabizi nchi Tundu la choo Kama huamnini subiri tarehe 28/10
 
Kiujumla chadema walikosea kumpa lisu kugombea, huyu ndo uchaguzi huu anakiua chama kabisa kuliko kipindi chochote.
Ukitaka kujua hilo hakuna mwenye unafuu ndani ya majimbo wanayotetea chadema, labda pr.j kule mikumi , wengine wte wanapumulia machine majimboni mwao.
Mwamba nae khari ni tete
Msigwa khari ni tete
Sugu ndo usiseme kabisaaa.
Mdee Gwajima naona km anajiandaa kufunga ndoa tu na sikampeni maana mdee siye nimjuaye hana ushawishi kabisa siku hizi.
Bunda ni ugari na mlenda.
Heche nikama anaaga
Matiko yy ndo hatoi hata hela ya mafuta kwa wadau wke, ashashtuka.
 
Back
Top Bottom