Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Sina wasi wasi na Simba yaan nitaenda uwanjani kwa ari kabisa nikijua narudi nyumbani na ushindi
 
Yanga timu, funga mikia waende zao porini wakakwatue nyasi,... Maana hata sungura watawakimbia
 
Kwa Simba Hii... Nina wasiwasi kuna watu wanaweza wasiingize team uwanjanii...
 
nakumbuka Manji alivyoanza kuifadhili Yanga Kassim Dewj akamwambia mpira wa bongo sio utalost..akamwambia siongei na wauza sambusa...Manji karudi rasmi kundini jipeni moyo swaumu kushney...forward line ya Yanga Ngoma,Chirwa,Tambwe na Ajibu hakuna watoto siku hiyo.....Kapombe ana TB sugu,Pilipili mmh Juuko kilaza,Nyoni bishoo hawezi kazi kazi...muulizeni Banda anakumbuka
 
Unamuongelea Tambwe wa mwaka mmoja uliopita mzee..! Umri ushamtupa yule
 
We unaamka usingizini aisee.. Yaani mpaka dakika hii unamtaja Ngoma, na Tambwe? wana mabao mangapi kwenye VPL?

Subira Okwi akupapase vilivyo [emoji16] [emoji16]
 
Unamuongelea Tambwe wa mwaka mmoja uliopita mzee..! Umri ushamtupa yule
Kanishangaza mno huyo. Au huenda comment yake ni mwaka jana. Kataja akina Ngoma, Tambwe na Manji [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…