Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mabingwa wa Nchi ya Tanzania na Wawakilishi Pekee, Ligi ya Mabingwa Afrika Simba SC, baada ya kufuzu kuingia hatua ya robo fainali, Ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi kati ya Hizi hapa..?

Esperance de Tunis, CS Constantine, Tp Mazembe, Horoya, Mamelod Sandowns, Simba SC, Wydad Casablanca, Al Alhy.

Baada ya Kiulizo hicho, natumai wote ni wazima wa afya salama kabisa na mko na akili ya kawaida baada ya furaha ya ajabu siku ya Jumamosi pale ambapo Klabu ya Simba SC ikicheza kandanda safi la Kulipewa Mwana..Kulitaka Mwana, kandanda la kiwango cha juu, lenye kuvutia hadhira na pasi maridadi zilizothibitishwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF, walipoweza kuwacharaza Wakongo AS Vita Club na Washirika wao, ambao hawatakaa wasahau kilichowakuta Uwanja wa Taifa.

Kongole ziende kwa klabu nzima ya Simba SC kuanzia Viongozi, Benchi la Ufundi, Wachezaji, Wanachama, Mashabiki ambao walifanya kazi yao ipasavyo.

Hivyo basi, Kama wewe ni mshabiki na mwanachama na mdau wa soka huku tukisubiri droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kupangwa Machi 20, 2019 saa 2: 00 usiku Cairo nchini Misri ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa?

Kumbuka timu ambazo zimeongoza kwa alama kwenye kundi lao haziwezi kukutanishwa wala zile ambazo zimetoka kundi moja, mfano kama Simba SC hawezi kukutana na Alhy SC.
IMG_20190318_113415_723.jpeg
tapatalk_1552913430648.jpeg
 
Mabingwa wa Nchi ya Tanzania na Wawakilishi Pekee, Ligi ya Mabingwa Afrika Simba SC, baada ya kufuzu kuingia hatua ya robo fainali, Ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi kati ya Hizi hapa..?

Esperance de Tunis, CS Constantine, Tp Mazembe, Horoya, Mamelod Sandowns, Simba SC, Wydad Casablanca, Al Alhy.

Baada ya Kiulizo hicho, natumai wote ni wazima wa afya salama kabisa na mko na akili ya kawaida baada ya furaha ya ajabu siku ya Jumamosi pale ambapo Klabu ya Simba SC ikicheza kandanda safi la Kulipewa Mwana..Kulitaka Mwana, kandanda la kiwango cha juu, lenye kuvutia hadhira na pasi maridadi zilizothibitishwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF, walipoweza kuwacharaza Wakongo AS Vita Club na Washirika wao, ambao hawatakaa wasahau kilichowakuta Uwanja wa Taifa.

Kongole ziende kwa klabu nzima ya Simba SC kuanzia Viongozi, Benchi la Ufundi, Wachezaji, Wanachama, Mashabiki ambao walifanya kazi yao ipasavyo.

Hivyo basi, Kama wewe ni mshabiki na mwanachama na mdau wa soka huku tukisubiri droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kupangwa, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa?

Kumbuka timu ambazo zimeongoza kwa alama kwenye kundi lao haziwezi kukutanishwa wala zile ambazo zimetoka kundi moja, mfano kama Simba SC hawezi kukutana na Alhy SC.View attachment 1048281View attachment 1048282
Kwa muongozo wa kanuni katika hatua hii ya robo fainali timu zilizo kuwa katika kundi moja haziwezi kukutana kwenye droo ya tarehe 20/3, pia timu zilizo maliza katika nafasi ya pili zitakutana na zile zilizo maliza katika nafasi ya kwanza, kwa mantiki hiyo Simba anatarajia kukutana na timu 3 tu ambazo ni TP mazembe, ESPERANCE na WYDAD CASABLANCA.
Kwa maoni yangu bora Simba ipangwe na Tp Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Tp Mazembe ikutane na Simba SC?

Bora ikutanae na Wydad casablanca hao Esperance ni wakali balaa hawajafungwa mechi hata moja kila la Kheri kwa mechi zijazo
Mkuu, utamkwepa robo fainali Je..! itakuwaje ukifanikiwa kutinga nusu fainali na ukakutana naye. La msingi nikujiandaa vilivyo kuweza kumkabili yeyote.
 
Ili Uwe Bingwa lazima ushinde mabingwa wengine..Simba wafanye mkakati mkali kuhusu kufungwa Game za nje hasa hasa kufungwa migoli mitano hiyo haifai kabisa...

Wakitatua hilo hata wakikutana na yeyote watashinda
 
Exactly mkuu..Naunga hoja hiyo..!
 
Games zote alizoshinda SIMBA Nyumbani, ukiacha ile ya JS Soura... Zikizobaki zote SIMBA angetolewa on aggregate! Hivo ni muhimu SIMBA kujizuia kufungwa lundo la Magoli Ugenini!
 
Kwa stage alio fikia simba ampangwe na team yoyote tu ila tukianzia home then ugenini hapo moto lazma uwake
 
Ukicheki Statistics nadhani Wydad Casablanca ndio nafuu kidogo kwani amefuzu akiwa na Points 10 kikichowabeba ni head to head na Mamelodi Wamepata Advantage,ukicheki GD Mamelodi Wana 4 Wydad Casablanca Wana 2..kwaio hawapo vizuri Sana kwenye ushambuliaji na ulinzi maana pia wamefungwa mechi 2.

Tp mazembe ya miaka hii kweli sio Kama ile iliokuja ikatufunga lakini tukaitoa mashindanoni.Tp mazembe hii tumeona hata katika kufuzu kuingia makundi ilifungwa na timu ya kutoka msumbiji wakaja kushinda kwao lubumbashi, kinachowasaidia ni uzoefu na wanajua kuutendea haki uwanja wao wa nyumbani na wanashinda magoli mengi,pia Timu za ukanda huu tunajuana Sana kwani tamaduni ni zilezile kwaio watajiandaa kulipiza kisasi Cha kuwatoa As Vita.

Esperance ndio timu ya kuogopwa maana imemaliza na points 14 wakiwa hawajafungwa ugenini kwaio wanarekodi nzuri wakiwa ugenini,pia ikumbukwe Esperance ndio bingwa mtetezi.

Ila kwa hatua Simba iliofijkia timu yoyote tutakayopangiwa nayo tutaishughulikia,maana bingwa mtetezi tushawahi kumtoa,Tp mazembe tushawahi kuwatoa#SIMBA NGUVU MOJA

Hapo mwisho bingwa mtetezi tushawahi kumtoa unamaanisha Zamalek??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom