Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

Ombeni mkutanishwe na Tp Mazembe,ila sio Wydad Casablanca, Al ahly, Esperance de tunis or CS Constantine ya Algeria mtapigwa bao nyingi mno muanze kulialia....

Kila la heri Wydad Casablanca! Ni tim ambayo nimetokea kuipenda sana sana.... ila wale wa Tunisia nawaogopa vibaya mno, yani wanacheza kama tim ya dunia/King Messi

Mungu ibariki Wydad Casablanca!😍😍😍
 
Teams zote ambazo zimeshika nafasi ya pili kwenye makundi, robo fainali lazima zianzie nyumbani na kumalizia mechi ya marudiano ugenini.
hiyo ndio mbaya. but mimi huku mbele hata tukitoka poa tu
 
Ombeni mkutanishwe na Tp Mazembe,ila sio Wydad Casablanca, Al ahly, Esperance de tunis or CS Constantine ya Algeria mtapigwa bao nyingi mno muanze kulialia....

Kila la heri Wydad Casablanca! Ni tim ambayo nimetokea kuipenda sana sana.... ila wale wa Tunisia nawaogopa vibaya mno, yani wanacheza kama tim ya dunia/King Messi

Mungu ibariki Wydad Casablanca![emoji7][emoji7][emoji7]
Utapenda sana, na utahama sana mara JS, Nkana, Alhy, AS Vita. lakini kazi yenu ni kukukausha damu ...This Is Simba
 
ISOMWE KWA SAUTI...
Ntajing’ata mgongoni Simba wakienda Nusu fainali ya ligi ya mabingwa...
Kuna walioahidi wake zao kuwa Simba inafungwa na inatolewa, lakini mwisho wa siku Mnyama alitoboa...Na wao tuliamua kuwasamehe, kwahivyo hana jipya nyie Hama hama FC..SimbaNguvuMoja
 
Kwa muongozo wa kanuni katika hatua hii ya robo fainali timu zilizo kuwa katika kundi moja haziwezi kukutana kwenye droo ya tarehe 20/3, pia timu zilizo maliza katika nafasi ya pili zitakutana na zile zilizo maliza katika nafasi ya kwanza, kwa mantiki hiyo Simba anatarajia kukutana na timu 3 tu ambazo ni TP mazembe, ESPERANCE na WYDAD CASABLANCA.
Kwa maoni yangu bora Simba ipangwe na Tp Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ataangukia kwa TP Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Apangwe na Tp mazembe.

Ila tuanzie away itakuwa poa

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Nataka Simba Akutane Na Tp Mazembe Ili Abugizwe Magoli Nane Kama Club Africain
Naunga mkono hoja
 
Kwa muongozo wa kanuni katika hatua hii ya robo fainali timu zilizo kuwa katika kundi moja haziwezi kukutana kwenye droo ya tarehe 20/3, pia timu zilizo maliza katika nafasi ya pili zitakutana na zile zilizo maliza katika nafasi ya kwanza, kwa mantiki hiyo Simba anatarajia kukutana na timu 3 tu ambazo ni TP mazembe, ESPERANCE na WYDAD CASABLANCA.
Kwa maoni yangu bora Simba ipangwe na Tp Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Muarabu alikula nane pale Stade TP Mazembe
 
Bora ikutanae na Wydad casablanca hao Esperance ni wakali balaa hawajafungwa mechi hata moja kila la Kheri kwa mechi zijazo
esperance mwaka 2016 walifungwa na AZAM hapo chamanzi complex magoli ya ramadhani singano na farid mussa, ila wakapindua matokea 3-0 kule tunisia kwa uzembe aishi manula
 
FACTS
Two teams from the same group won’t be drawn against each other at the quarterfinalists.

*The group runners-up will host the first leg matches of the quarterfinalist stages.

*Of the eight quarterfinalists for the Total CAF Champions League, there are five former champions counting 19 titles between them: Al Ahly (8), TP Mazembe (5), Esperance (3), and Wydad Athletic Club (2) and Mamelodi Sundowns (1).

*There are two first timers at the knockout stage; Tanzania’s Simba and CS Constantine of Algeria

*No team from CECAFA has ever laid their hands on the Holy Grail of African club football, and Simba are looking forward to break that jinx this term after losing the final of the 1972 edition to Hafia of Guinea. Sudanese giants El Hilal are twice runners-up, 1987 and 1972, whereas SC Villa of Uganda lost to Club Africain in the 1991 final.

*CS Constantine is the oldest club amongst the eight quarterfinalists, founded in 1898, about 121 years ago.

*Esperance are looking forward to back-to-back titles joining the likes of Al Ahly (2005 and 2006) & (2012 and 2013); TP Mazembe (1967 and 1968) & (2009 and 2010), and Enyimba (2003 and 2004).

*For the Total CAF Confederation Cup; Morocco and Tunisia has two clubs each. RS Berkane and Hassania Agadir are from Morocco and CS Sfaxien and Etoile du Sahel representing Tunisia.

*Holders Raja Club Athletic are out, thus failing to replicate the successive triumphs achieved by CS Sfaxien (2007 & 2008) and TP Mazembe (2016 & 2017).

*Zambian giants Nkana boast of an enviable record of unbeaten in CAF matches at home since 1983.
 
Droo ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika Mambo yanaendelea huko Misri..

Hivi punde tutajua...Simba SC Vs......
 
Back
Top Bottom