Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaHapo mwisho bingwa mtetezi tushawahi kumtoa unamaanisha Zamalek??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kafara kubwa kubwaEndelea kuwaza ushirikina kichwani mwako..BanaCongo
PoleNataka Simba Akutane Na Tp Mazembe Ili Abugizwe Magoli Nane Kama Club Africain
Kwa mwendo huo wa kafara basì ubiñgwa wa africa mtachukuaUmetepeta kama mate ya mlevi. Nenda kauze Putulu la wakongo wenu huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaogopa kafara zenu za damūMtayasema mengi sana lakini tumewakausha damu mwilini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kelele hakuna, mji wote na viunga vyake kimyaaaaa..This Is Simba bro
Kanuni zinaonyesha tutaanzia home tunamalizia awayApangwe na Tp mazembe.
Ila tuanzie away itakuwa poa
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Halafu muda huo huo Yanga ukipenda apangwe na nani vile??Nataka Simba Akutane Na Tp Mazembe Ili Abugizwe Magoli Nane Kama Club Africain
Kama na nyie mnautaka mtoeni ZaheraKwa mwendo huo wa kafara basì ubiñgwa wa africa mtachukua
Tutawatoa mambumbūmbu mpurura
Kila timu inaitaka Simba kwakua ukiwapeleka Simba mchakamchaka ukiwa kwako upo uhakika wa goli 5au 6 yaani izo uwa zipo ni juhudi tu ya kuwakimbiza.Ata Simba n timu tishio hizo timu unazozitaja zinaomba zisikutane n Simba maan mziki washauona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa bora kupambana tuMkuu, utamkwepa robo fainali Je..! itakuwaje ukifanikiwa kutinga nusu fainali na ukakutana naye. La msingi nikujiandaa vilivyo kuweza kumkabili yeyote.
simba itakutana na yoyete kati yaKwanini Tp Mazembe ikutane na Simba SC?
Kaokote wanapatulu, huko Taifa[emoji23][emoji23]Kila timu inaitaka Simba kwakua ukiwapeleka Simba mchakamchaka ukiwa kwako upo uhakika wa goli 5au 6 yaani izo uwa zipo ni juhudi tu ya kuwakimbiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teams zote ambazo zimeshika nafasi ya pili kwenye makundi, robo fainali lazima zianzie nyumbani na kumalizia mechi ya marudiano ugenini.Apangwe na Tp mazembe.
Ila tuanzie away itakuwa poa
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app