Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Simba vs T.P Mazembe.
Confirmed
Confirmed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REKODI MUHIMU KATIKA ROBO FAINALI.Hakuna kulala...Tukutane uwanjaniView attachment 1050163
Mpaka sasa bado nasubiri kuona Vyura watapangwa na nani..Nipo radhi nikose usingizi lakini mpaka nishuhudie[emoji23][emoji23]REKODI MUHIMU KATIKA ROBO FAINALI.
1.Timu iliyofunga Magoli mengi ni TP MAZEMBE.Imefunga Goli 13 .
*
2.Timu iliyofungwa Magoli* mengi ni SIMBA.Imefungwa Goli *13 .
Huu ni Mpambano kati ya Forward hatari vs Beki dhaifu.
Umeisoma record vizuri mkuu?Mpaka sasa bado nasubiri kuona Vyura watapangwa na nani..Nipo radhi nikose usingizi lakini mpaka nishuhudie[emoji23][emoji23]
This Is Simba....SimbaNguvuMoja
Mechi za ugenini mmepigwa goli 13 na hamkushinda hata moja hakika huu nì msiba mzitoSina habari na rekodi...Nataka kuona Vyura amepangwa na Horoya au? Na wanaazia wapi
Ni hayo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu chakufanya ni kutoa kafara kubwa kwa wanachama ila msiue albino wala watoto basí uweni mambumbumbi tuHivi wale ndugu zako wauza Putulu nao wamepangwa nani?
Mnajua mnatusumbua aisee kutafuta droo yenu..SimbaNguvuMoja
Safari hii ushindi sio point tuu bali na magoli pia,sasa Kwa jinsi ulivyozoea kupanua mapaja ugenini mbona utatiwa vingiHivi wale ndugu zako wauza Putulu nao wamepangwa nani?
Mnajua mnatusumbua aisee kutafuta droo yenu..SimbaNguvuMoja
Kuna walioahidi wake zao kuwa Simba inafungwa na inatolewa, lakini mwisho wa siku Mnyama alitoboa...Na wao tuliamua kuwasamehe, kwahivyo hana jipya nyie Hama hama FC..SimbaNguvuMoja
usije ukakimbia tu mzee mwenzangu
Utahama sana timu za kushangilia kama ulivyozoea..Simba habari nyingine nyie[emoji23][emoji196]Safari hii ushindi sio point tuu bali na magoli pia,sasa Kwa jinsi ulivyozoea kupanua mapaja ugenini mbona utatiwa vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri ‘’Tout Puissant Mazembe”
Englerbert [emoji1487][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Wanaitwa Orchestre Le Tout Puissant 'Englebert' Mazembe
Leo AS Vita mnawakataa.. Ama kweli jina la [emoji196][emoji196] linasadifu tabia zenu..endelea kuruka rukaWanaitwa Orchestre Le Tout Puissant 'Englebert' Mazembe... hawajawahi kuniangusha
Nyie kila hatua mnatutabiria kushindwa..Mwisho wa Simba ndio huu, mwanzoni aliwekewa kibinda mkoi, akanengua vizuri, CD imebadilishwa kawekewa ndombolo ya solo napo akichoropoka, basi arab de monde inamkata pumzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yametimia mkuu.. Tusubiri tukutane uwanjani, SimbaNguvuMojaKwa muongozo wa kanuni katika hatua hii ya robo fainali timu zilizo kuwa katika kundi moja haziwezi kukutana kwenye droo ya tarehe 20/3, pia timu zilizo maliza katika nafasi ya pili zitakutana na zile zilizo maliza katika nafasi ya kwanza, kwa mantiki hiyo Simba anatarajia kukutana na timu 3 tu ambazo ni TP mazembe, ESPERANCE na WYDAD CASABLANCA.
Kwa maoni yangu bora Simba ipangwe na Tp Mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa bado nasubiri kuona Vyura watapangwa na nani..Nipo radhi nikose usingizi lakini mpaka nishuhudie[emoji23][emoji23]
This Is Simba....SimbaNguvuMoja